Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Pole sana kwa Dr, ila angewahi kumeza zile dawa za kuzuia maambukizi ya UKIMWI kabla ya masaa 72 kuisha huenda angenusurika.

Labda hakupata huo ushauri daaah [emoji849]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
UKIMWI upo jamani, tena siku hizi ARV zinaficha wagonjwa wengi sana, alafu kuna watu wanazama chumvini hata demu humjui vizuri, unaingia mzima mzima na mdomo, unaamua kula UKIMWI hadi na mdomo, yaani.. 😢
 
Bora ubaki njia kuu tu au uachane na uzinzi na uasherati mazima, sasa hapo una tofauti gani na aliyepiga punyeto?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Diet mbovu, wenye diet nzuri hawana shida.
Yaani mkuu ukiwaona hapa klinic unakata tamaa mpaka wewe mtazamaji mweeh.... sijui shida ni nini wakati huku mbogboga, matunda, maziwa inshort vyakula vyote vipo vingi na vinapatikana kiurahisi. Nawaogopa sana watu wa Njombe pamoja na kwamba ndio kwetu klinic wamejaa utafikiri wapo kwenye semina mweh
 
Hujawahi muona mgonjwa wa aggressive cancer
Si bora ukimwi unaweza ishi hata miaka 20 aggressive cancer ndani ya miezi kinakua ni kipindi cha mateso makali sana mgonjwa ni analia mda wote au anaugumia maumivu mda wote
Hivi ni saratani zote?
 
Huu Uzi unatisha wakuu,
Nmesoma comment zote mpk nmeogopa
Uzi Umenifanya nijitafakari sana maisha haya ya Michepuko mwisho wake Ni Huku Huku Kwny umeme[emoji26]
Piga kelele hatimaye Mama J anakuwa huru ili Mzabzab na Mzee wa kupambania wajitwalie jimbo kilainiii [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
UKIMWI upo jamani, tena siku hizi ARV zinaficha wagonjwa wengi sana, alafu kuna watu wanazama chumvini hata demu humjui vizuri, unaingia mzima mzima na mdomo, unaamua kula UKIMWI hadi na mdomo, yaani.. [emoji22]
Yaani mtu anaamua kulamba ukimwi kama alambavyo Ice cream [emoji23]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Shida kwenye ndoa, wanaume sio waaaminifu kabisa wakiona Msichana ametulia hawakumbuki kabisa kondomu
Mm kondom ni mhim mkuu maana kuna magonjwa ya zinaa pia umesha wahi chomwa Benzathine penicillin mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daah 2010 tulikuwa wote kwa hiyo program mkuu.
 
Huo wimbo unaitwaje Chifu niupakue YouTube?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hivi arv zinauzwa? Au serikali hununua kisha kuwagawia bure wananchi?
Awali kabisa zilikuwa zinauzwa ila baadaye mamlaka ikaingilia kati kuokoa Wananchi maana bei ilikuwa ghali sana ambapo Watu wengi walikuwa wanakufa kwa kutoweza kununua.

So waathirika wanagawiwa bure ila nadhani anayewagawia ananunua maana hakuna cha bure popote duniani.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…