Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Verse 1

Nasikia raha jinsi nilivo star

Ni zaidi ya Robert De Niro

Nini top in Dar

Najukikana dunia nzima

Na kila kona hua natajwa langu jina

Sio tu watu wazima hadi watoto

Majina mengi a.k.a moto

A.k.a umeme a.k.a miwaya

A.k.a ngoma nzito isiyo na dawa

Ayaaaaah

Lakini sina ubaya

Na sibagui nchi za Africa nchi za Ulaya

Ni wengi tu nshawaondoa duniani

Na wengi bado nawatesa vitandani

Acha idadi kubwa ambao wapo safarini

Sijali mtoto wa kishua au unapoa uswahilini

Si mshajua nachozungumzia nini?

(UKIMWI UKIMWI UKIMWI)

Yeah a.k.a mimi

Natesa sana napokuingia mwilini

Akina gono kaswende wote baba yao mimi

Amini mi ndo kubwa la maadui

Na leo nakuja kwako usizuge kama hunijui

Halaa
😳😳😳😳😳😳😳
 
Waya dah! 2002 ndio serikali imepata msaada wa kuanza kupokea ARV kiokoa maisha, nafika tuu mjini toka chuoni (mbele) nikiwa yanki tuu, naingizwa AMREF kama Mtafiti tiba kwenye tukio lile kubwa na la kihistoria la kuingizwa mara ya kwanza kwa dawa hizi (pipi). Nakumbuka Raisi Mkapa (R.I.P) alilia sana alikuja kututembelea Mwananyamala baada ya kukamilisha Mkakati wa Kitaifa wa Usambazaji wa Dawa kuukabidhi kwa wizara kwa ajiri ya kuuzindua.
Sikuwahi kumuona mtu mzima na raisi analia mbele za watu. Tulitulia tuli roundtable,akalia kiutu uzima, yaani anatoa miwani anafuta machozi na kitambaa huku anairudisha tena. Watu wote kimya, wazungu, katibu mkuu, mpambe, mtu wa kulia, waziri wote wapo na wapo kimya. Bado nina kumbukumbu ya tukio hili liliambatana na zoezi la sensa.
Mkapa awamu yake huu ugonjwa ulimtesa, sana kama kiongozi maana watu wake walikuwa wanakufa kama nzige. Kama Mkapa angelikuwa hai leo na akaulizwa kuhusu UKIMWI awamu yake, naamini angelia tena kwa dakika kadhaa.
Pumzika kwa amani Ben.
 
Next ni jamii ya wasukuma. Hawa watu wanafanya mapenzi na wanawake wanaojiuza bila hata kinga.....wanapokezana kama sigara. Machimbo mapya ya wadangaji msimu wa kiangazi ni kwenye mapori ya wasukuma.
Wasukuma ukimwi unawatafuna saaana yaani kanda ya ziwa ina hali mbaya sana, kuna kijiji niliwahi kaa huko simiyu nilikuwa idara ya afya 80% ya vifo nilivyoshuhudia ni ngoma, Ndo maana ikapelekwa tohara ya bure na jamaa kwa kupasuana hawajambo
 
Waya dah! 2002 ndio serikali imepata msaada wa kuanza kupokea ARV kiokoa maisha, nafika tuu mjini toka chuoni (mbele) nikiwa yanki tuu, naingizwa AMREF kama Mtafiti tiba kwenye tukio lile kubwa na la kihistoria la kuingizwa mara ya kwanza kwa dawa hizi (pipi). Nakumbuka Raisi Mkapa (R.I.P) alilia sana alikuja kututembelea Mwananyamala baada ya kukamilisha Mkakati wa Kitaifa wa Usambazaji wa Dawa kuukabidhi kwa wizara kwa ajiri ya kuuzindua.
Sikuwahi kumuona mtu mzima na raisi analia mbele za watu. Tulitulia tuli roundtable,akalia kiutu uzima, yaani anatoa miwani anafuta machozi na kitambaa huku anairudisha tena. Watu wote kimya, wazungu, katibu mkuu, mpambe, mtu wa kulia, waziri wote wapo na wapo kimya. Bado nina kumbukumbu ya tukio hili liliambatana na zoezi la sensa.
Mkapa awamu yake huu ugonjwa ulimtesa, sana kama kiongozi maana watu wake walikuwa wanakufa kama nzige. Kama Mkapa angelikuwa hai leo na akaulizwa kuhusu UKIMWI awamu yake, naamini angelia tena kwa dakika kadhaa.
Pumzika kwa amani Ben.
mkuu lakini hauoni kama hizo arv ndo zimesababisha ugonjwa uwepo hata hii leo?

hauoni km mkapa alitatua tatizo la muda mfupi la vifo vya watu wake lakini akasababisha ugonjwa uendelee kubaki miongoni raia na kuendelea kuwamaliza taratibu ambalo ni tatizo la muda mrefu zaidi na pengine lisije kuisha kamwe?

hauoni km ayo yalofanyika ndo yamefanya watu waogope kula mbususu kwa raha na amani
 
Na hawa mademu huku kama hawataki nataka na milio fulani kutaka izame yote.Hali ya ukimwi kwa sasa ni mbaya zaidi.TABIA YA KUKUINGILIANA KINYUME NA MAUMBILE NDO KABISA.UKIONA DEMU ANAFANYIWA VITU VIKUBWA UJUE ANATOA MDUARA NAJISI. Watch out
Aisee haya maneno mnayatoa wapi mduara NajisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom