Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Mwe
Next ni jamii ya wasukuma. Hawa watu wanafanya mapenzi na wanawake wanaojiuza bila hata kinga.....wanapokezana kama sigara. Machimbo mapya ya wadangaji msimu wa kiangazi ni kwenye mapori ya wasukuma.
Mwenyewe niliwaona Katavi yaani watu Wana pokezana madem kwenye mapori wakezao mixer nadada yanayotoka mjini kwenda kujikodisha huko msimu wamavuno ya mpunga.
 
Machangu wa mijini yale yalizeeka yaliyoungua msimu wa mavuno ya mpunga yanazamia vijijini huko ni kupeana ngono tu kwa kwenda mbele
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayari kumpa % kadhaa katika mshahara kama shukurani
 
UKIMWI ni hatari nilishuhudia kwa macho yangu ndugu yangu akipofuka macho asubuhi wakati dada yake akiwa anajiandaa kumwamsha kumpatia chakula. Daah ilikua Mwaka 2009 aisee sitakaa nisahau alivyokua akilia kwa uchungu kwamba haoni tena na hata kaa aone kipindi kile nilkua bado mdogo hadi machozi yalinitoka R.I.P aunt naweza kusema japo kuna magonjwa mdngine mabaya kma Saratan na Sukar ila UKIMWI upewe maua yake

Pia 2016 na 2017 nikashudia UKIMWI ulivyowapiga vibaya watu wangu wa karibu wakaangamia na kuacha watoto wadogo ambapo mtoto mmoja kati ya hao naishi nae kila siku ananiuliza mama atarudi namwambia atarudi siku moja ndio hivyo ni Simanzi tu.

Lakini na ushahidi na mtu mmoja yuko nao sasa kwa zaidi ya miaka 31 naweza sema vitu vingine ni Imani tu! Maana ni mtu anayemjua Mungu Kwelikweli na anatumia dawa ni mtu mzima sana na amefanikiwa kimaisha hata kaajiri watu wengi kwenye kampuni zake ambayo ni NG'Os ya kusaidia waathirika hyu kwa story nilizosikia kwa wazazi wangu Ngoma aliletewa na marehem mumewe na iliyomuua mume wake ni mkanda wa Jeshi na mme wake ali confess mbele yake na kwa wasimamizi wa ndoa yao ambao ni wazazi wangu siku ya kufa kwake kuwa aliupata baada ya kutoka na Secretary wake.

Tuwe makini Waungwana Ngoma is really aisee!Kimasihara so poa utamenya kimasihara na wewe utamenywa kimasihara.
 
Hatari saana
 
Nikiwa mdogo miaka ya 2000 mwanzoni mama aliniambia ana mgonjwa anataka twende tukamtembelee alikuwa ndugu yake.Baada ya kufika nilishangaa sana na pia nilimuhurumia mno yule mama ndio ikawa mwanzo wa mimi kuogopa huu ugonjwa.Yule mama alikuwa amekonda mno,nywele kichwani zilikuwa kama magoya,kujisaidia alikuwa hawezi mpaka wamchokonoe maana alikuwa na nyama imeota njia ya haja kubwa.Pia alikuwa na jipu kubwa lilikuwa linamfanya anashindwa kulala wima miguu anaweka mabegani.Ee Mungu nilisema kama kuna watu wanasamehewa kwa namna walivyougua basi yule mama alistahili msamaha.Alikuwa na ukimwi pamoja na kansa ya kizazi RIP mama S----o

Mwingine ni mdogo wake baba alikuwa mwalimu alikufa miaka ya 90 kwa ukimwi ambao inasemekana aliletewa na mke wake.Mke wake alikufa kwenye miaka ya 2000.Waliacha watoto watatu mmoja alikuwa mwathirika tuliishi nae ila alikufa wamebaki wadogo zake wawili ambao ni wazima wa afya hawakuathirika.
Huu ugonjwa ukiwa hujawahi kuuguza utauchukulia poa utalala na kila mtu ila kama uliwahi kuuguza utaelewa ni ugonjwa wa aina gani
 
Waya dah! 2002 ndio serikali imepata msaada wa kuanza kupokea ARV kiokoa maisha, nafika tuu mjini toka chuoni (mbele) nikiwa yanki tuu, naingizwa AMREF kama Mtafiti tiba kwenye tukio lile kubwa na la kihistoria la kuingizwa mara ya kwanza kwa dawa hizi (pipi). Nakumbuka Raisi Mkapa (R.I.P) alilia sana alikuja kututembelea Mwananyamala baada ya kukamilisha Mkakati wa Kitaifa wa Usambazaji wa Dawa kuukabidhi kwa wizara kwa ajiri ya kuuzindua.
Sikuwahi kumuona mtu mzima na raisi analia mbele za watu. Tulitulia tuli roundtable,akalia kiutu uzima, yaani anatoa miwani anafuta machozi na kitambaa huku anairudisha tena. Watu wote kimya, wazungu, katibu mkuu, mpambe, mtu wa kulia, waziri wote wapo na wapo kimya. Bado nina kumbukumbu ya tukio hili liliambatana na zoezi la sensa.
Mkapa awamu yake huu ugonjwa ulimtesa, sana kama kiongozi maana watu wake walikuwa wanakufa kama nzige. Kama Mkapa angelikuwa hai leo na akaulizwa kuhusu UKIMWI awamu yake, naamini angelia tena kwa dakika kadhaa.
Pumzika kwa amani Ben.
Upo sahihi kiongozi. Ukimwi wa 1990s and 2000s uliondoka na watu wengi sana. Ulikuwa wa moto sana.
Wakati ni ukuta. Ingawa beberu ana yake, ila kwa ARVs alitutoa kwenye moto. Mzee mtu alikuwa anaugua week mbili, baada ya hapo ni kitandani…Mateso kama yote na baada ya hapa anakata moto.

Miaka ya 2000 tunaingia vyuoni…aisee kwa tuliosalimika hatuna budi kushukuru. When I look back? Mungu yupo. Nakumbuka baa ya Igongwe pale Mwenge ….maprofesa wa UD waliteketea kama nzige..

In all tuzidi kuwaombea wale waliotangulia mbele ya haki kwa hili gonjwa. Wote tuseme 🙏
 
Brother we acha tuu kile kipindi. Madogo hawafahamu huu waya tulipotoka nao.
 
mkuu lakini hauoni kama hizo arv ndo zimesababisha ugonjwa uwepo hata hii leo?

hauoni km mkapa alitatua tatizo la muda mfupi la vifo vya watu wake lakini akasababisha ugonjwa uendelee kubaki miongoni raia na kuendelea kuwamaliza taratibu ambalo ni tatizo la muda mrefu zaidi na pengine lisije kuisha kamwe?

hauoni km ayo yalofanyika ndo yamefanya watu waogope kula mbususu kwa raha na amani

Mkuu nashindwa hata nikuelezeje! Anyway ARV tuzishukuru sana mkuu, sina la kukuekeza kwa swali lako.
 
Nina shauku kujua kwanini hilo eneo UKIMWI ulishamiri sana, nimejaribu kuunganisha uhusiano wa watumishi kuhamishiwa huko hasa miaka hiyo ya 90 ila ninavyofahamu maeneo yaliyokuwa yamesahaulika na kupelekewa watumishi ni mengi miaka hiyo.

Nini hasa ni kichocheo halisi cha maambukizi kuwepo kwa kiwango cha juu?

Sehemu ulivyoifafanua inaonyesha ni sehemu yenye "standard" kubwa kimaisha na wasomi lukuki ila nini hasa kiliwaletea maambukizi ?
 
Mwe

Mwenyewe niliwaona Katavi yaani watu Wana pokezana madem kwenye mapori wakezao mixer nadada yanayotoka mjini kwenda kujikodisha huko msimu wamavuno ya mpunga.
Majimoto, Mpimbwe hii ndio hufanyika huo ujinga.
 
Upo sahihi kiongozi. Ukimwi wa 1990s and 2000s uliondoka na watu wengi sana. Ulikuwa wa moto sana.
Wakati ni ukuta. Ingawa beberu ana yake, ila kwa ARVs alitutoa kwenye moto. Mzee mtu alikuwa anaugua week mbili, baada ya hapo ni kitandani…Mateso kama yote na baada ya hapa anakata moto.

Miaka ya 2000 tunaingia vyuoni…aisee kwa tuliosalimika hatuna budi kushukuru. When I look back? Mungu yupo. Nakumbuka baa ya Igongwe pale Mwenge ….maprofesa wa UD waliteketea kama nzige..

In all tuzidi kuwaombea wale waliotangulia mbele ya haki kwa hili gonjwa. Wote tuseme 🙏
Mungu ametuvusha kwa kweli kwa miaka ile ukivuka salama bila UKIMWI, Shukuru Mungu. Nakumbuka nikiwa SUA miaka hiyo, Tumetoka mbali sana.
 
Back
Top Bottom