James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Mnatakiwa information km hizi ziwekwe kwa uwazi na kutaja mtaa au Kijiji husika unaweza kuongeza awareness wengi hudhani taarifa zisizokuwa detailed ni chai humuKijijini kwetu ulifyeka kijiji kizima, wamebaki watu wachache sana, nyumba ni nyingi kuliko watu.
Vijana kutoka mikoa mingine wanajikalia bure kwenye nyumba zilizoachwa
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app