[emoji2211][emoji2211][emoji2211]Akh kumbe story ya kufikilika.me nikajua real.Habari, wale walionifuata PM kwa ajili ya muendelezo wa story watambue, haitakuwa free kuna mchango kidogo wa vocha, pia kuna story mpya inakuja hapa very soon kuanzia kesho. jitahidi kutumia lugha ya staha unapo comment sio kwasababu unatumia fake ID ndio utiririke matusi heshima kitu cha bure.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni real
Safi sana. Waelewe kutunga siyo kitu rahisi. Hasa hatua ambayo ulifikia nilikuambia dogo itakupa ugumu kuendeleza . Umeona sasa? Hapo inakubidi ufikiri sana kwenye kuitunga..... Ila naafiki wakuchangie uchakavu. Utunzi si kitu rahisi.Habari, wale walionifuata PM kwa ajili ya muendelezo wa story watambue, haitakuwa free kuna mchango kidogo wa vocha, pia kuna story mpya inakuja hapa very soon kuanzia kesho. jitahidi kutumia lugha ya staha unapo comment sio kwasababu unatumia fake ID ndio utiririke matusi heshima kitu cha bure.
Haukuwa serious. We unaona kuna ukweli wowote pale? Mnadanganywa kirahisi sana. Kamchangieni pesa ya vocha awatungie.[emoji2211][emoji2211][emoji2211]Akh kumbe story ya kufikilika.me nikajua real.
Hainisumbui coz ni story ya kweli, na nimesha iandika. Changamoto ndogondogo kwenye finalisation. Ni lazima uongeze vionjo flaniflani.Safi sana. Waelewe kutunga siyo kitu rahisi. Hasa hatua ambayo ulifikia nilikuambia dogo itakupa ugumu kuendeleza . Umeona sasa? Hapo inakubidi ufikiri sana kwenye kuitunga..... Ila naafiki wakuchangie uchakavu. Utunzi si kitu rahisi.
Ooooh.... Ulisha maliza kutunga. Warushie madogo wenzio episodes hapa wa enjoy....Hainisumbui coz ni story ya kweli, na nimesha iandika. Changamoto ndogondogo kwenye finalisation. Ni lazima uongeze vionjo flaniflani.
Yaani umlipishe mtu kwa story zenye makosa kibao ya uandishi.Habari, wale walionifuata PM kwa ajili ya muendelezo wa story watambue, haitakuwa free kuna mchango kidogo wa vocha, pia kuna story mpya inakuja hapa very soon kuanzia kesho. jitahidi kutumia lugha ya staha unapo comment sio kwasababu unatumia fake ID ndio utiririke matusi heshima kitu cha bure.
Usinifundishe uandishi, wewe kama unajua kukosoa si uandike story yako hata moja tuione, mimi ni mwandishi wa vitabu, sio hizi episode za JF. Kwa wanaojua umuhimu wa uandishi wamesha nifuata PM, watu kama wewe hawanisumbui, ushauri peleka angaza.Yaani umlipishe mtu kwa story zenye makosa kibao ya uandishi.
Wewe ni mwandishi mchanga, kwa ushauri andika story ipost mahala popote bure, uone michango ya watu ili ukomae.
Story yako ina flow mbovu ila kwakua ulisema ni real story na watu wengi uandishi kwao ni tabu basi wadau wakasoma hivyo hivyo ili wapate kitu.
Punguza tamaa ujifunze bwana mdogo, hii hii story yako unaweza kuimodify kwa michango ya watu humu na ile kosoa kosoa yao, ukaandika kitabu kizuri kisicho na how how nyingi!!
JF imetoa platform ambayo kila mtu anaweza kuitumia, ukumbuke kuandika content sio rahisi nyingine zinapatikana kwenye mazingira magumu, na gharama zinatumika pia.JF imetoa nafasi bure ww unataka kulipisha watu, hizi njaa hizi.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Nani akufuate pm wewe acha kujishauaHabari, wale walionifuata PM kwa ajili ya muendelezo wa story watambue, haitakuwa free kuna mchango kidogo wa vocha, pia kuna story mpya inakuja hapa very soon kuanzia kesho. jitahidi kutumia lugha ya staha unapo comment sio kwasababu unatumia fake ID ndio utiririke matusi heshima kitu cha bure.
Unapewa ushauri wewe unang'aka kama kondoo,endelea na ujinga udhani hapa kuna watu wajinga kama wewe na hakuna hata mtu mmoja aloyekufata pm,kwa hapa JF tu utaambulia upepo.Usinifundishe uandishi, wewe kama unajua kukosoa si uandike story yako hata moja tuione, mimi ni mwandishi wa vitabu, sio hizi episode za JF. Kwa wanaojua umuhimu wa uandishi wamesha nifuata PM, watu kama wewe hawanisumbui, ushauri peleka angaza.
Unachoongea sikielewi, okay unalingine...Unapewa ushauri wewe unang'aka kama kondoo,endelea na ujinga udhani hapa kuna watu wajinga kama wewe na hakuna hata mtu mmoja aloyekufata pm,kwa hapa JF tu utaambulia upepo.
Nakuhakikishia siku ukijiroga uweke hapa simulizi nyingine utajikuta unaisoma wewe tu,ushalikoroga lazima ulinywe
1.Simulizi uchwara watu wameikimbiaUnachoongea sikielewi, okay unalingine...
Kukosolewa ni sehemu ya kujifunza bwana mdogo usishupaze shingo shauri yako..Usinifundishe uandishi, wewe kama unajua kukosoa si uandike story yako hata moja tuione, mimi ni mwandishi wa vitabu, sio hizi episode za JF. Kwa wanaojua umuhimu wa uandishi wamesha nifuata PM, watu kama wewe hawanisumbui, ushauri peleka angaza.
Nimekusamehe bure, umeishia kuporomosha matusi, ila sijaona point yako.1.Simulizi uchwara watu wameikimbia
2.Hakuna hata mtu mmoja aliyekufata pm
3.Wewe ni zezeta
4.Simulizi zako utakuwa unasoma mwenyewe na ukoo wenu lakini hapa JF ushaula wa chuya
5.Kama ulitegema hapa JF upige pesa badala yake unajikuta umeula wa chuya
6.Wewe ni zumbukuku
Nani amfuate pm na visimulizi vyake uchwara,kwanza muandishi gani hata kupangilia maneno hawezi?,Hivyo vitabu labda watasoma ndugu zake lakini si wabongo ninao wafahamu.Kukosolewa ni sehemu ya kujifunza bwana mdogo usishupaze shingo shauri yako..
Weka list ya vitabu vyako tuvitafute kama wewe ni mwandishi, namna gani ticha. Uandishi mbovu namna hii halafu hutaki kukosolewa.
Wamekufuata kwa hiyo kuziita story zako ni za kweli japo ni za kutunga tu.
Weka hapa vitabu vyako ulivyoandika ili tuone namna ya kuvinunua weweNimekusamehe bure, umeishia kuporomosha matusi, ila sijaona point yako.