Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

We huna ubongo wa kuandamana ndo wale mnaishia kula ubwabwa wa Bunge maana inaonyesha unapenda kula kuliko chochote.
 
Pambana na hali yako kama umeshiba kande pambana na hali yako na kama umeshiba vya Ikulu pambana na hali yako.
 
Mtoto wa single mama wewe kula kulala. Wewe lala wanaume wafanye kazi wamletee bimkubwa posho ule vizuri.
 

MACHAWA huwa hawaandamani.

Hata huko Kenya siyo Gen Z wote wanaoandamana ..... Wewe kaa tu nyumbani waachie wenye GUTS....!!
 

Na mimi nakazia, babu zetu waliopigania uhuru walifanya jambo la kijinga sana, wametuletea balaa ya hili joka la kijani CCM.
 
Ujanani kwao wale rahaa afu saiv wanajidai wazelendo ..naunga mkono hoja
 
Bora nife kifo Cha risasi kingine ila sio Cha kufanya ujinga wa kuandamana ufe Kwa ajili ya watu wengine ujinga huo sitofanya
Nyerere alipigania uhuru,ili iweje.... kwanini asingejiepusha na athari ambazo unadhani zingempata?
 
Kuna wakati haki hutafutwa kwa nguvu. Unakumbuka masista walioandamana na kulala barabarani mpaka haki ikapatikana? Ni huko phipines.
 
Inaonekana huna uelewa kabisa wa nature ya maisha ya binadamu. Wabena wa, Njombe, wanasema panda miti kwa ajili ya kutumiwa na vijana wa kizazi kingine. Vijana wengi matajiri pale Njombe wanatumia utajiri wa, miti iliyopandwa, na mababu zao.

Ndugu yangu mtoa, mada, usiwe mbinafsi kuogopa kifo , kwani ukifa ww ndugu zako wataisha maisha mema na mazuri.Ubinafsi umewajaa watanzania. Hatutaki kuwapigania wabongo na vizazi vijavyo kwa kuogopa kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…