Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

Kalale sasa Chawa mtiifu uwaachie vijana wenye akili wapambanie masrahi ya watoto wao.
Mda huo wewe ushaoza Kwa ujinga uliofanya wenzio wako ikulu mtoto wako Yuko dampo ujioni kama ni bonge la bwege sababu Shaba umekula na hamna kilichobadilika
 
Sina mda wa kuandamana Mimi Ili jitu lingine lije kuishi vizuri wakati huo Mimi nimeoza nimeshakua mchanga sifanyi huo ujinga milele Mimi sio mjinga ingia barabarani mwenyewe sio unakaa ndani ya shuka unalopoka humu
Mkuu pumzika, na hii hali ya mawingu hasa kwa dar sio nzuri kwa kichwa.
 
Duniani ni mahali pa ajabu sana pamoja na kwamba hutaki kuandamana kama mimi lakini kumbuka ni lazima wengine wamwage damu ili wengine waishi kwa raha. Ndiyo maana wanajeshi wanakwenda vitani wakijua kwamba watakufa lakini wengine wapone. Hiyo ndiyo dunia ilivyo tangu kuumbwa. Mimi ninafikiri kuna watu wametolewa kafara kwa ajili ya wengine bila wao kujua. Saa nyingine ninatafakari pale mtu anajua hapa kuna kufa lakini haogopi. Huo ujasiri siyo wa kawaida. Anyway wote tutakufa tu at the end of the day.
 
Wewe kweli huna akili mwanajeshi Ile ni kazi yake na analipwa pesa ya maana hata kabla ya kuingia vitani Sasa wewe choka mbaya hulipwi eti unaingia barabarani kutafuta haki yaani wewe una mawe wenzio Wana mk 47 unasema unatafuta haki hivi una akili timamu mzee zaidi utaishia kula Shaba na kuzikwa na maisha yanabaki vile vile mda huo wewe umeshaoza Kwa kifo Cha kujitakia au kutafuta sifa
 
Hii dunia bila kujitoa isingekuwa hapa.Wanaume wa kweli walipambana na Wanyama wakali na manyoka makubwa kwa ajili ya wengine.Walipambana na misitu mikubwa na mito mikubwa kwa ajili ya wengine.Karl Peter's,Bismark,Mkwawa,Kinjikitile Ngwale,Mangi Sina,Isike,Mkwawa,Merere,Nyerere,Kaunda,Nelson Mandela,Nkwameh Nkrumah,Mama Samiah ni miongoni mwa watu waliopambana either kwa kubebwa au kujitolea kwa ajili ya watu wengine.Mtu mchoyo hufa na uchoyo wake.Mtu ambaye hajawahi pitia shida atakuambia kuwa maandamano ni utumwa kwa sababu tangu azaliwe hajawahi onja shida yoyote.Wenye shida tunajua faida ya maandamano na kujitoa kwa ajili ya wengine.
 
Unataka nani akuletee ugali nyumbani kwako ingia barabarani kama wewe kweli jidume sio unaongelea kwenye shuka shio ipo road sio humu Kila mtu anapiga kelele tu sifanyi huo ujinga mimi kufa jitu lingine liishi vizuri
 
Hata ww unaishi vizuri kwa sababu kuu mbili. Moja, baba yako aliangaika sana kumtongoza mama yako, mpaka akampata.

Pili, mama yako alikaa na ujauzito kwa miezi tisa, ndio ukatokea.La sivyo angetoa mimba, usingekuwepo. Nature bado, ipo ili tusaidie wengine .
 
Kwahiyo walinizaa Ili nije kuandamana nife Ili mijitu mingine Ile keki ya taifa huna akili mzee wajinga pekee ndio wanaoandamana
 
Haya 👍pamoja 🙄🙄
 
Kwa hiyo Nyerere na Wapigani uhuru wenzake wangekuwa na mentality hii ina maana tungekuwa tunatawaliwa bado.
Bora mkoloni angebaki kutawala Afrika kuliko hao wapigania uhuru uchwara kina Nyerere waliandaa mifumo ya kinyonyaji inayo endelezwa hadi leo.

At least mkoloni aligawa huduma kwa haki kwa watu wote.

Afrika hakuna uhuru, Huu uhuru uliopo ni uhuru uchwara wa kuwafaidisha wachache huku maelfu wakiendelea kubaki maskini.
Maendeleo unayoyaona Marekani, Ulaya huko Asia hayajakuja hivi hivi kuna watu kibao walipoteza wapendwa wao hadi hizo nchi zimesimama hivyo.
Afrika hata ukipoteza maisha haisaidii kubadilisha chochote.

Waafrika hawajawahi na hawawezi kujiongoza

Mwafrika yeyote akishapata madaraka anawaza ukoo wake na familia yake, ubadhirifu, upigaji, uhujumu uchumi na kujilimbikizia mali.
Hii ina maana kuna siku utaletwa muswada wanaume wote mtoe ndogo angalau mara moja kwa mwezi kwa nchi wa hisani, utakubali kwa kuwa ukiandamana utapigwa risasi?

Huwa naamini kitu kimoja kama huwezi kuwasupport basi angalau usiwavunje moyo.
 
Usiseme Afrika sema Tanzania,Uganda,Rwanda,Burundi na Kenya.
 
Hii dunia ni kubwa sana, kila mtu huja kivyake na kuondoka kivyake.

Kwa nini upoteze uhai wako kwa ajili ya wengine?

Kwani wewe hutaki kuishi?

Au wewe ndio ulikuja hapa duniani kupigania wengine waishi?

Kwa nini hao unaohangaika kuwapigania waishi, wasijipiganie wenyewe waishi.

Yani hakuna kazi ya kipumbavu kuwahi kutokea duniani kama uanajeshi.

Yani unakufa vitani halafu kuna mafala mawili wanasiasa yamekaa ofisini kwenye viti vya kuzunguka yana wacheki tu mkiuana..!!!
 
Ukitaka maandamano Tanzania unga, maziwa ya mgando, dagaa na pilipili viwekewe kodi. Kila tonge lilipiwe 18%.
 
Usiseme Afrika sema Tanzania,Uganda,Rwanda,Burundi na Kenya.
South Afrika imeendelezwa na wazungu na ndio nchi yenye level za Amerika au ulaya.

Nelson Mandela hakuwafukuza wazungu, ndio maana uchumi na teknolojia ya mzungu ikabaki na kuendelezwa south Afrika.

Wapigania uhuru uchwara wa nchi zingine za Afrika walijidai kutaka uhuru wakapewa na hakuna walichofanya wenyewe pasipo misaada na utaalamu wa mzungu.

Sanasana walichopigania ni kuandaa mifumo ya kinyonyaji inayo faidisha vizazi vyao.

Wapigania uhuru walifanya makosa makubwa sana kupigania uhuru wa nchi za Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…