Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Jana imetoka taarifa ikidai Kuna wananjeshi 500 wa Uganda wameingia kupitia ziwa Victoria kinyemela Ili kuja kuzuia waandamanaji na hata kuwaua kabisa sababu nchi hii mwananchi Hana thamani
Sasa najiuliza JWTZ huwa wanalinda mipaka gani mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanaingia, halafu eti Mimi niandamane wakati wao wana kila sababu ya kuchukua nchi kabla hata ya tarehe 29 kunusuru uhai wa mtanzania ila kwakuwa ni waoga wanatusakizia raia
Hivi hawa watu Wana akili timamu kweli, yaani Mimi silaha yangu jiwe nikapambane na mtu mwenye risasi huku akiwa sio mtanzania? Maana yake hatokuwa na huruma na Mimi na hayo maandamano hayatofanikiwa watauawa watu ovyo tu
Acha Samia na Abdul watawale tu