Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #41
Hamna mtu mwenye akili timamu akatoka siku hiyo kama jeshi lenyewe linaogopa acha watawale mpaka waimalize nchi Mimi na ukoo wetu hatutoki acha tufe na umasikini ila sio kupigwa risasi halafu hakuna kitachobadilika yaani Mimi niende kupambana na mtu mwenye risasi tena ambaye sio mtanzania Mimi nibebe mawe hiyo akili Gani ni ujinga wa Hali ya juu kufa Kila mtu atakufa ila kuanza kufa tena Kwa uzembe ambao unaweza kuzuilika na jeshi lenye silaha hapana ndio maana Kenya wanashindwa kumuondoa ruto sababu akili hawana madiktekta dawa Yao ni silaha za moto full stop Huwezi kumtoa diktekta Kwa maandmano na sifa kuu ya diktekta yupo Radhi kukodi jeshi nje ya nchi kama ikiwa ndani akubaliki ndio anachofanya Samia na ruto alikifanya hii kete mwananchi hawezi kutoboa na tanzania tulivyo waoga wa risasi watalambwa risasi watu wa 5 tu wakifa Kila mtu atatawanyika ndio hapo watakapochukua pointi 3Unataka jeshi liingie kati wewe umekaa ndani unakunywa chai?
Ni jukumu lako kuipambania nchi yako, nani kakuambia wanajeshi pekee ndio jukumu lao kuipambania hii nchi?
Kingine hao walioingia hawajaingia wao kama wao, wanapewa support na wanajeshi wengine na wakiwemo wanajeshi wakubwa wenye vyeo, si suala la kukurupuka hovyo. Mambo ya kiusalama hayaendi hivyo.
Usifikiri wanajeshi wana miili ya chuma, na wao wana familia, wana watoto na watu wanaowategemea, wanafanya mambo kwa tahadhari. Na jeshini sio wote wapo upande wa wananchi, mapandikizi ya uvccm yapo, ndugu za mafisadi wakubwa wapo, wanufaika wapo...
Huwezi kurupuka hovyo kama mlevi kuanza kushambulia hao askari kutoka UG, japo inajulikana wanakuja kuzuia maandamano lakini huwezi jua wametumia sababu zipi na sheria ipi kuwaingiza, maana ccm inajulikana kwa kutumia sheria mbovu walizotunga wao kukandamiza demokrasia.
Tuseme unawashambulia, halafu wanakuja kutoa documents wanasema waliingia nchini kisheria kwa ajili ya kupata mafunzo kutoka JWTZ, hapo mahakamani utajibu nini ? wewe waache hadi siku waingie barabarani ndipo itajulikana..
Wewe kama unakaa ndani kaa ndani, kuna wengine watatoka, suala la kutupia jeshi lawama halitosadia ni jukumu ako kama mwananchi kuipambania nchi yako. Hata kama jeshi litakaa upande wa serikali.