Siwezi kuandamana kufanya kazi iliyotakiwa kufanywa na JWTZ

Siwezi kuandamana kufanya kazi iliyotakiwa kufanywa na JWTZ

Acha tuendelee kuumia tufe na umasikini sipo tayari kumfia mtanzania

Ndio Mkuu Tufe tu maskini. Uzuri JWTZ wanalipwa vzuri sana, Hakuna haja ya wao kuwafia watanzania.

Mpaka kije kizazi ambacho kitaamua kufa kwq ajili ya kesho ya Hili Taifa
 
Ndio Mkuu Tufe tu maskini. Uzuri JWTZ wanalipwa vzuri sana, Hakuna haja ya wao kuwafia watanzania.

Mpaka kije kizazi ambacho kitaamua kufa kwq ajili ya kesho ya Hili Taifa
Kabisa umesema sahihi kama wao wanalipwa vizuri wameona Haina haja ya kufia mtanzania sembuse sisi tusiolipwa Wala kuonja Radha ya pesa hizo za serikalini halafu nikamwage damu yangu barabarani hiyo haipo Bora Kila mtu afe na chake
 
Jana imetoka taarifa ikidai Kuna wananjeshi 500 wa Uganda wameingia kupitia ziwa Victoria kinyemela Ili kuja kuzuia waandamanaji na hata kuwaua kabisa sababu nchi hii mwananchi Hana thamani

Sasa najiuliza JWTZ huwa wanalinda mipaka gani mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanaingia, halafu eti Mimi niandamane wakati wao wana kila sababu ya kuchukua nchi kabla hata ya tarehe 29 kunusuru uhai wa mtanzania ila kwakuwa ni waoga wanatusakizia raia

Hivi hawa watu Wana akili timamu kweli, yaani Mimi silaha yangu jiwe nikapambane na mtu mwenye risasi huku akiwa sio mtanzania? Maana yake hatokuwa na huruma na Mimi na hayo maandamano hayatofanikiwa watauawa watu ovyo tu

Acha Samia na Abdul watawale tu
Muulize baba yako process iliyofanyika mpaka ukazaliwa, majibu atakayokupa ndio utajua umuhimu wa kuikombia nchi Kwa maandamano. Baba yako angemuachia babu yako majukumu kwamba Hana haja ya mwanamke Kwa SABABU ni kazi ya babu yako hakika usingezaliwa. Maana muda mwingine baba yako anapomfata mama yako alikoswakoswa na vibaka na wajomba zako wenye hasila na matusi ya mama yako aliyamezea tu, lakini ikatiki na ukazaliwa.
 
Back
Top Bottom