Siwezi kuficha furaha yangu kwa Yanga kula kichapo

Leo NDIO NIMEAMINI SIMBA ni timu kubwa Sana.

Inacheza na .....
Alahaly..
Raja.
WHYDAD.
KAIZERCHEEF.
Orando.

Wote tunapambana NAO kwa mkapa.
Kakakipimo kadogo tu halo watu wamepoteana.

YANGA imecheza Mechi mbili kubwa msimu huu

Simba 2 0
Usm algers 2-1.
 
Haijaisha mpaka iishe!

Waarabu wanafungika, Nabi kachelewesha sana sub. Leo kachemka!

Tumemiliki mpira asilimia 60,
Aziz Ki hakuwa makini alikazana kutaka kufunga badala ya kawaida yake kutoa mapande, Morisson alielewa alichokosea Aziz Ki.

Mayele hakupata usaidizi akawa anacheza pembeni, Kibwana hakupanda inavyotakiwa!

Timu haikukaba kama kawaida yake,

Pengo la Aucho lilionekana timu ilikosa balance!
hiyo haituhusu mkajadili kwenye vikao vyenu vya ndani tumefurahi metunguliwa sawsawa
 
Leo NDIO NIMEAMINI SIMBA ni timu kubwa Sana.

Inacheza na .....
Alahaly..
Raja.
WHYDAD.
KAIZERCHEEF.
Orando.

Wote tunapambana NAO kwa mkapa.
Kakakipimo kadogo tu halo watu wamepoteana.

YANGA imecheza Mechi mbili kubwa msimu huu

Simba 2 0
Usm algers 2-1.
Raja Casablanca 3-0
 
Haijaisha mpaka iishe!

Waarabu wanafungika, hawana mpira wowote bahati tu imewabeba!

Nabi kachelewesha sana sub. Leo kachemka! Alitakiwa half time irudi timu ingine baada ya kuwa Nyuma kwa goli moja!

Tumemiliki mpira asilimia 60, ila mtu wa kuwaunganisha Mayele na Musonda alikosekana!

Aziz Ki hakuwa makini alikazana kutaka kufunga badala ya kawaida yake kutoa mapande, anao anao sana badala ya kuharakisha kutoa pasi , c Morisson alielewa alichokosea Aziz Ki.

Mayele hakupata usaidizi akawa anacheza pembeni, Ambundo au Denis Nkane wanajua kukimbia na Mayele ,

Kibwana hakupanda inavyotakiwa!

Timu haikukaba kama kawaida yake, waarabu walirelax wakiwa na mpira!

Pengo la Aucho lilionekana timu ilikosa balance!
[emoji23][emoji23][emoji23] eti irudi timu nyingine, kweli utopolo mmevurugwa, unajua sub mwisho ngapi ?
 
Back
Top Bottom