Siwezi kuficha furaha yangu kwa Yanga kula kichapo

Siwezi kuficha furaha yangu kwa Yanga kula kichapo

Ila simba kuna wazee nuksi kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]so mkaona heri tukose wote,manake leo mji ungekuwa mgumu huu kwa sisi kina lunyasi.
 
Imeisha Wachezaji Walipewa Ahadi Million 60 Kila Mmoja Kununuliwa Ndege Bombadier Q400 Kila Mtu Yake, Viwanja Wajenge, Mashamba, Sijui Sasa Itakuwaje
 
Ila simba kuna wazee nuksi kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]so mkaona heri tukose wote,manake leo mji ungekuwa mgumu huu kwa sisi kina lunyasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
jamaa alivyolamba chenga mmoja wao wale wengine waka baki kusimama tu kama wamepigwa shoti ya gridi ya taifa wakitegemea huruma la mwamuzi apige kipenga iwe offside lakini wapi,kula chuma hicho!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani kweli yanga siipendi jana mimi ni wa kumshangilia mwarabu kweli😂😂😂
 
Sio yanga imepata kichapo ila ni TZ imepata kichapo. Hapo unafurahia?? Labda kwenye damu yako hakuna hata chembe ya uzalendo.
 
View attachment 2638378

Nipo hapa kuueleza umma kwamba mimi nisiwe mnaa. Furaha yangu kwa Utopolo kula kichapo haiwezi kufichika kwa uzalendo uchwara.

Nawaombea mkienda huko Algeria mchakazwe kama mbwa koko mkirudi msitamanike kabisa. Mna midomo sana

Nimefurahi sanaaaaaa
Mleta uzi ungejitahidi hadi second leg ndio ungeandika uzi wako, kitendo cha kiandika uzi mapema hivi inaweza kukufanya uje kuumbuka kama nyuzi zako za nyuma zilizovyogeika kuwa chungu kwako. Mpaka sasa hauna uzi uliyoandikia Yanga ukawa ni mzuri kwako mwisho wa siku, kama na hili nalo likienda kukuumbua basi utakuwa mtu mwenye gundu haswa.
 
Sio yanga imepata kichapo ila ni TZ imepata kichapo. Hapo unafurahia?? Labda kwenye damu yako hakuna hata chembe ya uzalendo.
[emoji2][emoji116]
315b0bf68c53463b8f59e19cb840133c.jpg
 
Mleta uzi ungejitahidi hadi second leg ndio ungeandika uzi wako, kitendo cha kiandika uzi mapema hivi inaweza kukufanya uje kuumbuka kama nyuzi zako za nyuma zilizovyogeika kuwa chungu kwako. Mpaka sasa hauna uzi uliyoandikia Yanga ukawa ni mzuri kwako mwisho wa siku, kama na hili nalo likienda kukuumbua basi utakuwa mtu mwenye gundu haswa.
Usinipangie
 
Back
Top Bottom