Siwezi kuficha furaha yangu kwa Yanga kula kichapo

Leo NDIO NIMEAMINI SIMBA ni timu kubwa Sana.

Inacheza na .....
Alahaly..
Raja.
WHYDAD.
KAIZERCHEEF.
Orando.

Wote tunapambana NAO kwa mkapa.
Kakakipimo kadogo tu halo watu wamepoteana.

YANGA imecheza Mechi mbili kubwa msimu huu

Simba 2 0
Usm algers 2-1.
 
hiyo haituhusu mkajadili kwenye vikao vyenu vya ndani tumefurahi metunguliwa sawsawa
 
Raja Casablanca 3-0
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti irudi timu nyingine, kweli utopolo mmevurugwa, unajua sub mwisho ngapi ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti irudi timu nyingine, kweli utopolo mmevurugwa, unajua sub mwisho ngapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…