Siwezi kuficha furaha yangu kwa Yanga kula kichapo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haijaisha mpaka iishe!

Waarabu wanafungika, hawana mpira wowote bahati tu imewabeba!
Hivi ww unatumia nini kuwaza? Ni ubongo ulitimamu?

Wale waarabu na nyie nani alibebwa na BAHATI..?

zile pasi kampa kampa tena uliziona?

Nyie mlipiga kona ngapi? Je effects? Nani ana bahati?

One on one ngap wamewakosa wale..
 
Jifunze kuwa na akiba za maneno katika soka maana bado dakika 90 za ugenini na mpira haunaga kukariri matokeo.

Kolowizards, nimekaa pale [emoji117][emoji142]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Dkk 90 hizo hata USMA nao wanazisubiri tena watakua sebuleni kwaooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi hii takwimu umezitoaa wapiii wee???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bao LA 2 uliliona lilivyotokeaa?? Au unajizima dataaa??

Watu mmechezewa ball hadi ndani ya 18 wee unasema nn wee?? Khaaaaah
 
Kolowizards umekenua hadi jino lako la 32, Waarabu wataendelea kutuita ngozi nyeusi nyani sana na saana kwa kujikomba huku kwao [emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbna unatesekaa sanaaa?? Vipii kwemaaaa???
 
Hivi ww unatumia nini kuwaza? Ni ubongo ulitimamu?

Wale waarabu na nyie nani alibebwa na BAHATI..?

zile pasi kampa kampa tena uliziona?

Nyie mlipiga kona ngapi? Je effects? Nani ana bahati?

One on one ngap wamewakosa wale..
Afu wanajizimaa dataaa hapaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…