Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

Sawa kama nimezeeka ni majaliwa ya mwenyezi Mungu, hongera yako kwakuwa na nuru
For real unaonekana kama una 30+ years,.

Jitahidi sana kupuuzia mambo,. Usijipe stress sana za maisha maana hazijai Isha,. Usitegemee watu wakupe furaha utakua disappointed sana,. Raha jipe mwenyewe bibie,. usipokua makini life will *** you to death...

Kula vizuri,. Oga vaa vizuri pendeza,. Skin care routine yako pia zingatia wachana na cheap price products,. Jitoe out msichana kula maisha ,. Nuru inakuja yenyewe automatically
 
Kwenye picha huyo ni mm,
Je unaweza kuniambia kwann ungepost miguu,tena si yako?

Punguza ushauri na Acha kejeli
 
Vipako mdogo wangu!

Samahani kama nitakuuzi Marry Diana jitahidi usitumie mafuta makali kwenye ngozi yako yanakuharibu mbona wewe ni binti mrembo Sana Tu!!
Tatizo unaharibu ngozi yako!!!
Situmii chochote zaidi ya mafuta mgando ya 2000
 
Pole sana biashara ungenunua vitu vya kkoo kama upo daslm jichanganye hapo Agrey/Congo mtaa ambao utaweza kufanya kitu na ukarudi na kitu..
Vitu vya kike vina mzunguko sana usijihusishe na vitu vya wanaume maana tukiwa na suruali tatu shati tano inatosha sio wanunuzi hasa kwa Tanzania..
Natamani kukusaidia ila nipo busy na magari huku SA ila sehemu ambazo ungepata vitu vya kuuza daslm hapa vingi shida muda mpaka J2 nasindikiza gari mpaka mpakani.
 
Asante sana Kwa ushauri
 
Umeuremba ushauri kama wamshauri manzi mwenzio kumbe dume😅
 
Kwenye picha huyo ni mm,
Je unaweza kuniambia kwann ungepost miguu,tena si yako?

Punguza ushauri na Acha kejeli
Uzuri Mamie yuko hapa shibela em nijibie hili,. Nanyanyasika kisa miguu yako mizuri jamani🥹😭😭

Hilo ndio tatizo lako hupendi kuambiwa ukweli,. Uzi wako umeomba ushauri nimekushauri au ulishalist watu wako wa kuchangia???

Am out anyways ,. Sorry for everything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…