Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Mnapenda short cut lakin vitu viko waz sanLucifer mwenyewe kaumbwa na Mungu. Halafu iweje tuwe na tabia zilizofanana? Ndivyo tulivyoumbwa.
Mtapiga tu kelele lakini tabia za mwanamke zitabaki kuwa hivyo hivyo miaka na miaka, kama ambavyo tabia za mwanaume hazijawahi kubadilika.
Hao manabii feki wengi ni wanaume, una lipi la kusema kuhusu wanaume manabii feki? Unaona wapo sawa kutqpeli?
Sababu ni hii.Wanaume wachache sana wanaweza kuwafhukia wazazi wa mke, lakini ni wanawake wachache sana wanaweza kuishi na wazazi wa mume bila vitimbi...
Ndivyo tulivyo na hatuta badilika. Uwezo wa kujibadilisha haupo.Mnapenda short cut lakin vitu viko waz san
Sema bora mama zenu nyie ndio kabisaNdivyo tulivyo na hatuta badilika. Uwezo wa kujibadilisha haupo.
Mika 20 ijayo kuna mtu atasema bora sisi. Hawa watoto wetu sasa hivi baadae itakuwa balaa. Mambo ni bambamSema bora mama zenu nyie ndio kabisa
Kweli maana mnashindana na kuwa mamafiaMika 20 ijayo kuna mtu atasema bora sisi. Hawa watoto wetu sasa hivi baadae itakuwa balaa. Mambo ni bambam
Dunia inabadikika, haisimami.Kweli maana mnashindana na kuwa mamafia
Kila kitu kinabadilika ile nyie mnabadilika kuwa waharibifu zaidi kuliko kuwa boraDunia inabadikika, haisimami.
Ni kweli..na sababu ipo.Kila kitu kinabadilika ile nyie mnabadilika kuwa waharibifu zaidi kuliko kuwa bora
Wanawake ni lini mmeonewa au ndio mlivyoaminishwa na wabeijingNi kweli..na sababu ipo.
Uvumilivu una mwisho wake, watu hawaendelei kuwa maboya tena.
Ogopa sana mtu aliyeonewa halafu akaja kujitambua.
Unaweza usinielewe.
Huwezi elewa tutabishana hapa hadi kesho.Wanawake ni lini mmeonewa au ndio mlivyoaminishwa na wabeijing
Ni kweli changamoto zinatofautiana kwa sababu kila jamii inaiona ndoa kwa uzito wakeHuwezi elewa tutabishana hapa hadi kesho.
Lakini mimi naamini hizi changamoto za ndoa tunazopitia watanzania sasa hivi (sina uhakika na nchi nyingine za kiafrika), huko kwa wenzetu wazungu hawana.
Wanaume tumebaki wachache sana wengine lia liaMwanaume asio kua na msimamo ni sawa sawa na mwanamke tofauti ni productive organs...... na oa mke ambaye niko tayari kumuacha hata ikiwa na kichanga cha wiki moja, hayo masuala subilia watoto wakue ni uoga wa maisha na ujinga.
Hiyo kauli ni zaidi ya kuomba talaka ambapo sio jambo la kawaida kutolewa na mtu mwenye akili timamu.Wakuu,
Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!
Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!
Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!
Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya
Wadau mnasemaje?
Umakini ni muhimu uwepo, lazima kuishi nao kwa akiliDaaaah! Ila kuwa makini maana watu wenyewe ndio hawahawa tuliokuwa tunawazungumzia hapo juu kwenye huu uzi
Oya mabinti msiolewe. Tulieni na mabwawa mpaka mpate dawa ya kurudisha mabwawa yarudi kua vitumbua.Duh
Kuna watu wana choyo za asili..
Oyah vijana msioe. Tulieni mpaka mkuwe kiakili
Hilo ndio la msingiUmakini ni muhimu uwepo, lazima kuishi nao kwa akili