Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Inawezekana vizuri tu.

Inakuwaje ikiwa wewe ndio mtenda kosa? Yaani unajua kabisa kuwa umepigwa kwa sababu ya makosa yako?

Mwisho wa siku lazima utoe tu na ukigoma Grace yupo.
Mimi na mtu mzima, kosa gani hilo kubwa nitakuwa nimefanya ambalo siwezi kurekebishwa kwa maneno hadi unipige? Nimekuwa mtoto mimi? Ok umeamua kunipiga, si tunatakiwa tuwe tumemalizana? Natakiwa kukuhonga tena?
 
Makosa yako mengi na mengine huwa nyie mnalazimisha kupigwa ili yaishe.

Umeshakubali kuwa tumeshamalizana baada ya kuchezea vitasa, sasa kwanini uninyime kitumbua? Sio hongo hiyo, kama mimi ni mpenzio basi nina haki ya kupata hiyo kitu ninapoihitaji kama huna dharura ya kutokunipa.
 
Hapana aisee inabidi uniache maumivu yapoe kwanza, yaani huku naugulia kupigwa huku natoa? Mimi siwezi
 
Nipo.
 
Kuna kitu umeruka.....hujasema ukweli
 
Ni mimi baby sasa nipo Antwerp Belgium nitatua bongo next week I miss you baby
 
Hapana aisee inabidi uniache maumivu yapoe kwanza, yaani huku naugulia kupigwa huku natoa? Mimi siwezi
Hautoi kabla maumivu hayajaisha ila wakati mwingine unaweza ukatoa wakati maumivu hayajaisha ili kupunguza kipigo maana unajua mkiendelea kutazamana tu baada ya kipigo cha kwanza, unaweza ukapigwa tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…