Hold your 🔥 baba..Better load up that beauty again...It really appeals to see those blessings you have.
Sasa kuna nini tena, itabidi uunganishiwe orientation na masomo kwa pamoja.😂😂😂 Tunaanzia kwenye chapter bila intro maelekezo yatafata mechi ijayo.Hayo maamuz magumu yaishie tu kwenye utamu sio ukanyage kanyage bila ile hot vibe....(narecall story ya salon" yan yule kaka alinibananisha nikasema sitoi ila ghafla nikajikuta natoa maana kila kona aliyogusa ilikuwa yenyewe")[emoji28]
Wacha weee....😅😅😅kwahiyo mtafunano ukatokea🧚♀️🧚♀️🧚♀️Hayo maamuz magumu yaishie tu kwenye utamu sio ukanyage kanyage bila ile hot vibe....(narecall story ya salon" yan yule kaka alinibananisha nikasema sitoi ila ghafla nikajikuta natoa maana kila kona aliyogusa ilikuwa yenyewe")[emoji28]
Bila period mshinda na boxer angepewa mchezo dadeq
Hahahaha pigia mstari na kunogewa juu,now nikushare mpk funguo za apartment ili mtafunano uendelee bila kikomo[emoji28]Wacha weee....[emoji28][emoji28][emoji28]kwahiyo mtafunano ukatokea[emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Watu wa coet hatuwez kuzijua kona kama hzo..ni nyie ma ngwini ndo mnapuyanga huko kwanza sis tunamalizia kulekule kwenye college zetu.so usinilazimishe nijue hyo kona..sijawai ijua sasa hyo cafeteria na wala sjawai kula hapo...ndo nmeiskia leoAtakua [emoji777]
Atakuwa [emoji736]
Kweli umeishi hapo. Sisi tumesoma hapo. Na waliosoma hapo wameelewa. Wapo wengi wameishi hapo kwa ndugu zao au kama wafanyakazi wa ndani.hawawezi elewa habari za harvard na manzese. Ila waliosoma wanaelewa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaa shabaaash in no particular order![emoji16]Sasa kuna nini tena, itabidi uunganishiwe orientation na masomo kwa pamoja.[emoji23][emoji23][emoji23] Tunaanzia kwenye chapter bila intro maelekezo yatafata mechi ijayo.
Miaka ya nyuma ipi.mi ni wa 2009-2013...labda kwakua nilikua nakula coet.nje na hapo labda nikale cafeteria 1 or 2...nmeish hall5 ,hall2 miaka yote,,sjawai ijua hyo cafeteria...sasa usinilazimisheDaaaahhh.....umechemka sana... Yaani bora ungeuliza kwa watu kabla hujaandika. Waliosoma UDSM miaka ya nyuma wanapafahamu vizuri sana harvard ni wapi.
[emoji1][emoji1][emoji1] utetezi wa kipuuzi, haya mwanzoni uliposema udsm hakuna cafeteria inaitwa Havard ulikuwa umesahau kuwa nyie wacoet hamyajui maeneo yote ya chuo mambo yote mnamalizia kwenu?Watu wa coet hatuwez kuzijua kona kama hzo..ni nyie ma ngwini ndo mnapuyanga huko kwanza sis tunamalizia kulekule kwenye college zetu.so usinilazimishe nijue hyo kona..sijawai ijua sasa hyo cafeteria na wala sjawai kula hapo...ndo nmeiskia leo
Naona umeamua kunichakachua siku hizi lakini yote maisha tu wala haina nomaHivi ni mimi tu ndio nimeona Havard au na nyie mmeona
Wacha weee...Hahahaha pigia mstari na kunogewa juu,now nikushare mpk funguo za apartment ili mtafunano uendelee bila kikomo[emoji28]
Nimekuchakachuaje lakini?Naona umeamua kunichakachua siku hizi lakini yote maisha tu wala haina noma
Kwahyo tunashindana au.[emoji1][emoji1][emoji1] utetezi wa kipuuzi, haya mwanzoni uliposema udsm hakuna cafeteria inaitwa Havard ulikuwa umesahau kuwa nyie wacoet hamyajui maeneo yote ya chuo mambo yote mnamalizia kwenu?
Utafurahi tu by any meansHahahahaa shabaaash in no particular order![emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1] utetezi wa kipuuzi, haya mwanzoni uliposema udsm hakuna cafeteria inaitwa Havard ulikuwa umesahau kuwa nyie wacoet hamyajui maeneo yote ya chuo mambo yote mnamalizia kwenu?
Hatushindani, punguza ujuajiKwahyo tunashindana au.
Kusema kweli mimi nimekaa Hall 3 na hapo havard sipajui ....sema alichokosea yeye ni kuleta ujuaji eti udsm hakuna kijiwe kinaitwa havard halafu baadaye anakuja na tambo za coet, sasa kama alijua ye ni mtu wa coet kwa nini aje kuropoka kuwa hakuna eneo kama hilo?Sema wewe dada maana mimi jamaa kanishangaza.unaweza kuta hata huko coet kasimuliwa tu.mtu alitekaa hall 5 hawezi shindwa pafahamu Harvard Cafeteria ni wapi.maana yake hata manzese hapafaham. Coet usiku kulikuwa hakuna chakula.sijui miaka yao.
Kusema kweli mimi nimekaa Hall 3 na hapo havard sipajui ....sema alichokosea yeye ni kuleta ujuaji eti udsm hakuna kijiwe kinaitwa havard halafu baadaye anakuja na tambo za coet, sasa kama alijua ye ni mtu wa coet kwa nini aje kuropoka kuwa hakuna eneo kama hilo?
Umenikumbusha mbali sana kwa baadhi ya vichapo nilivyowahi kutoaga kwa baadhi ya Ke, tena mwingine nusura avunje meza ya kioo haha!Hapo poa, asante sana kwa mchango wako Joanah in JPMagus voice!
Sio jitu linakuja gheto af linadai halijaja kwa mambo hayo [emoji41]