Usipige kelele sana, hata huko mtafikia tu, it is just a matter of time, sisi huku CCM kwa bahati nzuri tuna utamaduni mzuri wa kuwajibishana kama hivyo, ila huko kwenu, hakuna mtu yeyote wenye dhamana ya kuuliza chochote wala kumwajibisha yoyote.Siku zote tunasema
CCM ndio wezi wa nchi hii
wameifilisi na wanaendelea kuifilisi
CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals
Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
hapana..ijisafishe. siku zote unafiki ni sehemu ya siasa ndio maana kuna ufisadi mkubwa cdm. ruzuku inaliwa yote kijanja na wajanja.
Mchawi wa maendeleo ya nchi hii ni ccmNdio maana nchi inadumaaa mchwa wanaila bila huruma.maccm yanaiba adi shetani anashangaaaa
H
Mimi sina shida na Mafisadi Kuwajibishwa, Naonya Juu ya Unafiki, Naomba Unisikie na Unisikie Vizuri, Mimi sidaiwi na Mtu, Sijawahi Kugusa sumni ya Mtu, Kuhusu Uhuru wa Kuongea Nitasama Ninayoona Ni ya Ukweli. Na hakuna wa Kunitisha, Sio Magufuli au Yeyote. Yeye Ni Mwanadamu Kama Mimi na Wewe, Acheni hofu za Ujinga. Magufuli ni Rais Kwa sababu ya Kura za Watu. Sio Mfalme wa Wafalme wala sio Mungu, Akifanya Mema Namtakia Mafanikio. Ila kama kwako yeye Ni Mfalme na Mungu, Mimi Kwangu ni Magufuli.Ndugu yangu millioni saba ni pesa nyingi,hata kama ungechangiwa ikapatikana ni afadhali hyo hela ikatumika kununua madawati wanetu wakasomea,si lazima katika kujadili mada utaje majina au kutumia kauli kali zitakazokuletea matatizo.Uungwana sio uoga,huu utawala hauna simile shauri yako.
hiyo inamuacha yeye pembeni? maana hata yeye alikuwa awamu hiyo yaTone ya JPM anapoongelea masuala ya ufisadi, ni kali na isiyo na masihara hata kidogo. Ukosefu wa uaminifu na tabia ya upigaji iliyoachwa ikaota mizizi katika awamu ya nne, ni vitu ambavyo kwa sasa ni sababu kubwa ya baadhi ya watu kupata magonjwa ya moyo.
Usipige kelele sana, hata huko mtafikia tu, it is just a matter of time, sisi huku CCM kwa bahati nzuri tuna utamaduni mzuri wa kuwajibishana kama hivyo, ila huko kwenu, hakuna mtu yeyote wenye dhamana ya kuuliza chochote wala kumwajibisha yoyote.
Sawa ndugu,ilikuwa ni tafakuri tu,uko huru kufanya lile lifurahishalo nafsi yako.Mimi sina shida na Mafisadi Kuwajibishwa, Naonya Juu ya Unafiki, Naomba Unisikie na Unisikie Vizuri, Mimi sidaiwi na Mtu, Sijawahi Kugusa sumni ya Mtu, Kuhusu Uhuru wa Kuongea Nitasama Ninayoona Ni ya Ukweli. Na hakuna wa Kunitisha, Sio Magufuli au Yeyote. Yeye Ni Mwanadamu Kama Mimi na Wewe, Acheni hofu za Ujinga. Magufuli ni Rais Kwa sababu za Kura za Watu. Sio Mfalme sio Mungu, Akifanya Mema Namtakia Mafanikio. Ila kama kwako yeye Ni Mfalme na Mungu, Mimi Kwangu ni Magufuli.
Keep dreaming.Siku zote tunasema
CCM ndio wezi wa nchi hii
wameifilisi na wanaendelea kuifilisi
CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals
Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
OkayKeep dreaming.
Ukisikia vyama vya siasa vina miaka mingi ya uwepo tambua kuwa sababu kubwa ni ule uwezo wa kufanya mabadiliko yanayoendana na mahitaji ya wakati husika. CCM imekuwepo kwa miaka mingi na sababu ni busara inayofanya kazi ndani ya chama. Yeye kuwemo sio kigezo cha kuacha ufisadi na wizi, eti ziwe ni tabia za kawaida tu kwenye jamii.hiyo inamuacha yeye pembeni? maana hata yeye alikuwa awamu hiyo ya
Endelea kusahau sahau tu, ila mwisho ukigutushwa, it wil be too late to jump ship.Mtaishia hivyo hivyo kuwadanganya lumumba wenzenu lkn kwetu sisi tuliokwisha jitambua msahau
Hakuna fisadi wa kukwepa mkono wa sheria mbele ya serikali ya magufuli wote watakwisha tu kuanzia chamani,uraiani,serikalini na mpaka kwenye vyama vya upinzani wote watanyooka tu.Siku zote tunasema
CCM ndio wezi wa nchi hii
wameifilisi na wanaendelea kuifilisi
CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals
Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
hapana kwa sasa ccm haina cha busara wala nini inalazimisha aiseeUkisikia vyama vya siasa vina miaka mingi ya uwepo tambua kuwa sababu kubwa ni ule uwezo wa kufanya mabadiliko yanayoendana na mahitaji ya wakati husika. CCM imekuwepo kwa miaka mingi na sababu ni busara inayofanya kazi ndani ya chama. Yeye kuwemo sio kigezo cha kuacha ufisadi na wizi, eti ziwe ni tabia za kawaida tu kwenye jamii.
Nyakati zimebadilika mkuu, mamlaka zinafanya kazi yake, tuache kuanticipate results kabla ya vitendo kufanyika. Swala la usimamizi wa sheria ni pana sana, na sio lazima kila anayetuhumiwa basi akutwe na hizo tuhuma. Ukishajua hilo basi utapunguza mzigo mkubwa sana wa lawama zisizokua na sababu kwa serikali.Mimi nilishasema siku zote fikra zangu ziko huru....ninachotaka mimi Wezi wote popote walipo wachukuliwe hatua
eti mtafika tu....lini? why mnachelewa? msidhani watu wote ni wajinga
Kuna upuuzi mwingi tu mnaiba mali za umma alafu serikali yenu haichukui hatua miaka zaidi ya 53 halafu mnaendekeza comedy?
Juzi hapa TAKUKURU ime wa clear wabunge wa CCM kutokana na Tuhuma za wazi za Ufisadi...mnadhani akili zetu zilienda likizo?
Endeleeni kukata mauno huko lumumba kisa mnaiba na sasa mmeshaamza kuanikwa mchana kweupe na huo wizi wenuEndelea kusahau sahau tu, ila mwisho ukigutushwa, it wil be too late to jump ship.
Mkuu hujui kuwa Lowasa yupo kwenye Lugumi?Mnakamata vijizi vidogovidogo lakini majizi makubwa kama Lugumi yanakunywa kahawa na kujipongeza huku mnunuaji wa kivuko kibovu anasema analala nao mbele kwa mbele..imbombo ngafu.
Asante hakuna Shida!Sawa ndugu,ilikuwa ni tafakuri tu,uko huru kufanya lile lifurahishalo nafsi yako.
Uungwana si Uwoga
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..