Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

Siasa zinahusu sana maisha ya watu. Siasa mbaya na maisha huwa mabaya siasa nzuri na maisha yatakuwa mazuri. Lisu anapigania siasa nzuri na kifaa cha kazi hiyo ni gari imara.
Hajalazimishwa mtu kuchanga
 
Hao ni wezi!
Watanzania wengi walivyo mbumbumbu watachanga hela
Mwingine hata baiskeli hana ila atamchangia Lissu
Mama, kuchanga tsh 500, 1000, 2000, 5000, 10000.
Hakumuzuii mtu kununua baiskeli.
Lakini pia nadhani si lazima( hakuna mtu anakulazimisha uchange).

Kuna msemo unasema" kutoa ni moyo si utajiri"

Na unapotoa huangali unaempa ana nini au wewe una nini.

As long as unauwezo wa kufanya hivyo you do it.
 
Kuchanga wachange wengine uumie wewe kwani umelazimishwa huo ni uchuro
 
Kampeni ni shuruti? Au kwakuwa ni hiyari basi watu wasitiane hamasa?
 
Unazungumziaje ile michango ya shuruti ya mbio za mwenge hata kwa watu wasio na imani na mwenge?
 
Tuonyeshe bandiko lako ukiumuia kuhusu michango ya shuruti ya mbio za mwenge, maana huu mchango wa hiari umeonyesha kukuumiza sana.
Huo uzi sikuuona na kuhusu michango ya mwenge ndo kwanza nimesikia kwako
 
Piga ua garagaza,Lissu lazima,and I repeat,lazima apate mkoko mpya!Na mimi naendelea kutembea kwa miguu hadi kieleweke.Kwani bei gani bwana?
 
Huo uzi sikuuona na kuhusu michango ya mwenge ndo kwanza nimesikia kwako
Nimesema tuonyeshe Uzi uliowahi kuweka au kuchangia kuonyesha maumivu yako kuhusu michango ya shuruti ya mwenge, maana huu mchango wa hiari umekuumiza sana. Hicho kiherere cha kujua michango ya hiari kwa gari la Lisu, ungetumia kiherehere hicho hicho kujua michango ya shuruti ya mbio za mwenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…