Siyo mwanasheria ila moja ya hoja zangu ndiyo zimeenda kuwashinda jopo la wanasheria wa Yanga huko CAS

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na mashabiki lia lia kuwa nisubiri nione. Nikaambiwa mimi ni nani nipewe nakala ya hukumu, wakiwa na maana hukumu hiyo ipo ila mimi ndiyo sijaiona.

Mimi mwenyewe nashangaa hizo habari za CAS. Utaendaje CAS wakati hukumu ya ndani bado haijatoka? Kitu cha kwanza watakuuliza nakala ya hukumu ya ndani iko wapi, Yanga watawapa nini, mahojiano ya redio?

Yanga na vibaraka wake wanataka tu kuipa presha TFF na Bodi ila hawana hata hela ya kwenda huko CAS. Wanasumbua tu mahakama wakijua wao ndiyo wahalifu.

Sijawahi kuona unafungua kesi ya rufaa wakati hukumu ya hiyo kesi unayoifungulia rufaa haijatoka rasmi.

Yaani unafungua kesi ya rufaa kwa kuambatanisha nakala za masikilizo na majibizano ya mahakamani na siyo nakala ya hukumu.

Sawa hatujahitimu VETA ila Uto acheni kutuchezea Watanzania. Hizi Sinema Zetu zinatosha sasa.

Unafungua kesi ya rufaa huku hauna nakala ya hukumu ya unachokikatia rufaa? Viongozi wenu wanawadharau sana.
Ikafika wakati nikapata hadi ujasiri wa kusema Yanga ikipeleka kesi CAS nipigwe ban. Nadhani ningefafanua zaidi kuwa Yanga ikipeleka kesi na ikakubaliwa kusikilizwa ndiyo nipigwe ban. Sijukua wanasheria na viongozi wa Yanga wanaweza kuwa vilaza kiasi hiki kupeleka mashtaka yakiwa na mapungufu haya.

Moja ya sababu ya maamuzi ya CAS kuyatupilia mbali malalamiko ya Yanga yanahusiana na kile kile nilichokuwa nasema, kuwa Yanga haikusubiri maamuzi ya mwisho na hukumu kutolewa na wakakimbilia CAS wakiwa tu na nakala za majadiliano na taarifa kwa umma za Yanga, Bodi ya Ligi, TFF na Simba. Hii ni aibu iliyoje.

Mashabiki wa Yanga watambue viongozi wao wanawachezea na wanawadharau saana. Siamini kuwa hawakujua mapungufu haya ya malalamiko yao kule CAS yatasababisha upotevu wa pesa, muda, heshima ya klabu na hayatawasaidia lolote.
 
Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na mashabiki lia lia kuwa nisubiri nione. Nikaambiwa mimi ni nani nipewe nakala ya hukumu, wakiwa na maana hukumu hiyo ipo ila mimi ndiyo sijaiona.

Ikafika wakati nikapata hadi ujasiri wa kusema Yanga ikipeleka kesi CAS nipigwe ban. Nadhani ningefafanua zaidi kuwa Yanga ikipeleka kesi na ikakubaliwa kusikilizwa ndiyo nipigwe ban. Sijukua wanasheria na viongozi wa Yanga wanaweza kuwa vilaza kiasi hiki kupeleka mashtaka yakiwa na mapungufu haya.

Moja ya sababu ya maamuzi ya CAS kuyatupilia mbali malalamiko ya Yanga yanahusiana na kile kile nilichokuwa nasema, kuwa Yanga haikusubiri maamuzi ya mwisho na hukumu kutolewa na wakakimbilia CAS wakiwa tu na nakala za majadiliano na taarifa kwa umma za Yanga, Bodi ya Ligi, TFF na Simba. Hii ni aibu iliyoje.

Mashabiki wa Yanga watambue viongozi wao wanawachezea na wanawadharau saana. Siamini kuwa hawakujua mapungufu haya ya malalamiko yao kule CAS yatasababisha upotevu wa pesa, muda, heshima ya klabu na hayatawasaidia lolote.
Mimi najiuliza kitu kimoja tu. What if mtuhumiwa wako mkuu ndio anaetakiwa kutoa hukumu ya awali ambayo hukumu hiyo ndio itakayokua kianzio huko CAS?

Yaan una kesi ya awali ambayo uliemshitaki ndio hakimu mwenyewe wa hiyo hiyo kesi.
 
Usijizime data. Kila jambo na taratibu zake na taratibu za kusuluhisha masuala ya mpira zinajulikana.

Jiandaeni kumkaba Mpanzu.
 
Mimi najiuliza kitu kimoja tu. What if mtuhumiwa wako mkuu ndio anaetakiwa kutoa hukumu ya awali ambayo hukumu hiyo ndio itakayokua kianzio huko CAS?

Yaan una kesi ya awali ambayo uliemshitaki ndio hakimu mwenyewe wa hiyo hiyo kesi.
TFF-----kamati ya rufaa ya TFF,-----Waziri wamichezo-----CAS
Fuata mlolongo huo and not otherwise
 
CAS katika muktadha wa mahakama mara nyingi humaanisha Court of Arbitration for Sport (CAS), yaani Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo. Hii ni taasisi ya kimataifa yenye makao yake makuu huko Lausanne, Uswisi, ambayo hushughulikia migogoro inayohusiana na michezo, kama vile:

  • Migogoro kati ya wanamichezo na mashirikisho ya michezo
  • Rafu dhidi ya adhabu za michezo (k.m. kufungiwa au kufutiwa matokeo)
  • Migogoro ya kimkataba ndani ya sekta ya michezo

CAS ni chombo kinachotambulika kimataifa na maamuzi yake huwa ya mwisho.
 
Mimi najiuliza kitu kimoja tu. What if mtuhumiwa wako mkuu ndio anaetakiwa kutoa hukumu ya awali ambayo hukumu hiyo ndio itakayokua kianzio huko CAS?

Yaan una kesi ya awali ambayo uliemshitaki ndio hakimu mwenyewe wa hiyo hiyo kesi.
Nimeamini huko yanga wenye akili ni watu 3,hivi unajua kazi na majukumu ya CAS? KWA TAARIFA YAKO INAFANYA KAZI KAMA MAHAKAMA YA RUFAA,SASA HUNA NAKALA YA HUKUMU KWA NINI USISUBIRI UPEWE AU USHITAKI NGAZI HUSIKA? BODI YA LIGI IKO CHINI YA NANI? TFF WAKO CHINI YA NANI? SIMBA NI WANACHAMA WA NANI?
 
mdogoye Frank Wanjiru Benny Haraba redio ngara23 Ulimakafu
Wild child

Nyie ndiyo mlikuwa vinara wa kunipingaMna lipi la kusema?
Kwa niaba yao naomba nikuombe radhi
Screenshot_2025-05-03-10-08-15-160_org.mozilla.firefox.jpg
 
Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na mashabiki lia lia kuwa nisubiri nione. Nikaambiwa mimi ni nani nipewe nakala ya hukumu, wakiwa na maana hukumu hiyo ipo ila mimi ndiyo sijaiona.

Ikafika wakati nikapata hadi ujasiri wa kusema Yanga ikipeleka kesi CAS nipigwe ban. Nadhani ningefafanua zaidi kuwa Yanga ikipeleka kesi na ikakubaliwa kusikilizwa ndiyo nipigwe ban. Sijukua wanasheria na viongozi wa Yanga wanaweza kuwa vilaza kiasi hiki kupeleka mashtaka yakiwa na mapungufu haya.

Moja ya sababu ya maamuzi ya CAS kuyatupilia mbali malalamiko ya Yanga yanahusiana na kile kile nilichokuwa nasema, kuwa Yanga haikusubiri maamuzi ya mwisho na hukumu kutolewa na wakakimbilia CAS wakiwa tu na nakala za majadiliano na taarifa kwa umma za Yanga, Bodi ya Ligi, TFF na Simba. Hii ni aibu iliyoje.

Mashabiki wa Yanga watambue viongozi wao wanawachezea na wanawadharau saana. Siamini kuwa hawakujua mapungufu haya ya malalamiko yao kule CAS yatasababisha upotevu wa pesa, muda, heshima ya klabu na hayatawasaidia lolote.
mimi nashauri tungewaacha kwanza waugue taratibu mbona tunao humuhumu kwetu kwani wanahama ? kuweni na huruma kwnz wakuu
 
Dawa yao ni kuuchomoa mwiko nyuma na kuusokomeza tena kwa kasi ya 4G

Ngushi angetulia kidogo tu angewaweka kefa fc

Wenye akili huku tuko watatu tu

TFF-----kamati ya rufaa ya TFF,-----Waziri wamichezo-----CAS
Fuata mlolongo huo and not otherwise

Kule wenye akili ni wawili tu.

Nimeamini huko yanga wenye akili ni watu 3,hivi unajua kazi na majukumu ya CAS? KWA TAARIFA YAKO INAFANYA KAZI KAMA MAHAKAMA YA RUFAA,SASA HUNA NAKALA YA HUKUMU KWA NINI USISUBIRI UPEWE AU USHITAKI NGAZI HUSIKA? BODI YA LIGI IKO CHINI YA NANI? TFF WAKO CHINI YA NANI? SIMBA NI WANACHAMA WA NANI?

Kwa niaba yao naomba nikuombe radhi
View attachment 3323671

mimi nashauri tungewaacha kwanza waugue taratibu mbona tunao humuhumu kwetu kwani wanahama ? kuweni na huruma kwnz wakuu

Wenye Akili Ni Wawili Tu
Nadhani madalali wa mjini hawajasanuka. Kwa wanasheria hawa wa Yanga, madalali wanaweza kukodisha vyumba pale Jangwani wakapageuza gesti na mahakamani wakashinda vizuri tu. Embu wachangamkie hii fursa.
 
Vyura wiki hii imekuwa mbaya sana kwao, kwanza simba wameingia fainali ya kombe la shirikisho Afrika, wamebwaga cas na kipigo cha mashujaa ingawa hakiwahusu wao ndio wameumia zaidi
 
Back
Top Bottom