Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio tatizo huanza, malezi mabovu kutoka kwao.Mapembe ni ishu ya nyota, wengi elimu hawana. Mwanamke mapembe ni nyota ya simba na ni mwanamke moto. Wewe ni punda, mbuzi, kondoo unaoa simba, lazima utapelekeshwa. Simba ni mfalme huwa juu. Ukiweka simba na mbuzi chumba kimoja ni lzm mbuzi ataliwa.
Hapo ni ishu ya elimu ya kuchagua. Rudi shule kachague upya, kwann ubebe mzigo wa malezi mabovu. Wazazi wanawalea watoto wao vibaya KISHA mzigo ubebe wewe nani kasema.
Bila discussion wakuu,
Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.
Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika na kumiliki magari.😔
Lakini mbio za sakafuni huishia ukingoni, na sisi men tuna waacha tu tuone wanafika wapi.
Visa ni vingi wakuu, lakini wanawake wanaforce kingi; yaani huna chochote lakini umpe.
Mkuu unacheka wakati vijana wanauziwa mbuzi kwenye gunia!!!![emoji16][emoji16]
Well said.Lazima kutakuwa na kaupendeleo mahali...mbona mi bado sijapata mapembe yangu???
On a serious note : ukiwa na mtu alafu ukaishia kuhisi unatumika/unatoa sana kuliko unavyopokea just know you are not in the right relationship. Nenda na mambo yako nae aende na mambo yake.
Unatakiwa kuwa na msumeno au mkasi wa haja wa kukata hayo mapembe, na unamuonyesha kabisa.Bila discussion wakuu,
Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.
Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika na kumiliki magari.😔
Lakini mbio za sakafuni huishia ukingoni, na sisi men tuna waacha tu tuone wanafika wapi.
Visa ni vingi wakuu, lakini wanawake wanaforce kingi; yaani huna chochote lakini umpe.
😁😅 kichekesho hichi.Unatakiwa kuwa na msumeno au mkasi wa haja wa kukata hayo mapembe, na unamuonyesha kabisa.
View attachment 2525739
![]()
AminaBasi amani tele iwe kwenu.
Wanapigiwa wake zao au wanapigwa na wake zao?Huku shamba wanaume wanapigwa Hadi huruma
Wanadundwa hadi na nondoWanapigiwa wake zao au wanapigwa na wake zao?
Kwamba Tit For Tat? Au sio..... 🤣🤣🤣🤣Akiota mapembe unaota mabawa ni kuruka nae tu mpaka akimbie mwenyewe