Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
KATAA NDOA
OA MKEO AOTE MAPEMBE
OA MKEO AOTE MAPEMBE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu labda hujakaa na mwanamke sahihi kwako.
Ushawahi kufikiri hilo?
Mimi mbona sijaweza kupelekeshwa hivyo, kwa sababu ninajua kuchagua.
Wewe je, umelazimisha kuwa na mtu asiye sahihi kwako?
Nivumilie nini?Vumilia tu, hata Baba zetu baada ya kustaafu na kumaliza kiinua mgongo ndo wanasema kijana kaa na mke kwa machale, hata kwa umri wa 90 kuna siku mwanaume ata admit mwanamke changamoto.
Unajua kuchagua? Wachaa izunguke....
Nivumilie nini?
Naona umejialika sana kwenye maisha yangu kama unanijua wakati hunijui.
Shetani karudi likizo
Lilith au nguva Ili ruling the world
Vinaumana Sana hadi hawajui pa kutokea.Tuna raha sisi tuliostaafu mapenziTayari huko[emoji1787] Na mtashusha sana nyuzi humu mpaka mpate akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Wee huchakati kabisa??Vinaumana Sana hadi hawajui pa kutokea.Tuna raha sisi tuliostaafu mapenzi
Kha!Akiota mapembe unaota mabawa ni kuruka nae tu mpaka akimbie mwenyewe
Kama hachakati basi anachakatwa! That's it😂😂😂 Wee huchakati kabisa??
Sio kipaumbele sana😂😂😂 Wee huchakati kabisa??
Hadi wew KelseaTayari huko[emoji1787] Na mtashusha sana nyuzi humu mpaka mpate akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa mkuu.Mapembe ni ishu ya nyota, wengi elimu hawana. Mwanamke mapembe ni nyota ya simba na ni mwanamke moto. Wewe ni punda, mbuzi, kondoo unaoa simba, lazima utapelekeshwa. Simba ni mfalme huwa juu. Ukiweka simba na mbuzi chumba kimoja ni lzm mbuzi ataliwa.
Hapo ni ishu ya elimu ya kuchagua. Rudi shule kachague upya, kwann ubebe mzigo wa malezi mabovu. Wazazi wanawalea watoto wao vibaya KISHA mzigo ubebe wewe nani kasema.
Kweli asilimia zote iko hivo kundi bovuUko sahihi kabisa mkuu.
Malezi mabovu kwa mtoto wa kike yanawasumbua watu wengi wasiokuwa na hatia kwenye ndoa.
Hasa Hawa watoto wa boarding kuanzia shule ya msingi na school bus
Wanalelewa hovyo Sana.
Hakuna wake wa kuoa kutoa kwenye Hilo kundi.
Ukitaka stress jichanganye