Siyo siri siku hizi wanawake wameota mapembe

Lazima kutakuwa na kaupendeleo mahali...mbona mi bado sijapata mapembe yangu???

On a serious note : ukiwa na mtu alafu ukaishia kuhisi unatumika/unatoa sana kuliko unavyopokea just know you are not in the right relationship. Nenda na mambo yako nae aende na mambo yake.
Wao wanasema wanataka kuhudumiwa, kodi, chakula, Mavazi na ada ya shule ya mtoto wake single mother.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Bila discussion wakuu,

Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.

Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika na kumiliki magari.😔

Lakini mbio za sakafuni huishia ukingoni, na sisi men tuna waacha tu tuone wanafika wapi.

Visa ni vingi wakuu, lakini wanawake wanaforce kingi; yaani huna chochote lakini umpe.
Sio Kila kitu Cha kuwapa mkuu,wewe unachotakiwa kufanya ni kuwapa mimba tu.
 
Wanawake wanawake
Wanawakeeeeeeee eeh[emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
Mzazi unamlea mtoto vibaya kisha hutoishi nae, then anaenda leta shida kwenye familia za watu. Maradhi kama magonjwa ya moyo, pressure, kisukari, sonona, kupooza,ishu ya ukatili,ulemavu,vifo, nk. Chanzo ni matokeo ya malezi mabovu uliyompa mwanao ambao matokeo ya usumbufu na hali ya mtoto wa mwenzako kushindwa kuyabeba.
Mtoto vyema mwanao kama mke au mme wa mtu ajaye
 
Bila discussion wakuu,

Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.

Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika na kumiliki magari.[emoji17]

Lakini mbio za sakafuni huishia ukingoni, na sisi men tuna waacha tu tuone wanafika wapi.

Visa ni vingi wakuu, lakini wanawake wanaforce kingi; yaani huna chochote lakini umpe.
Never enter into or escalate a conflict because your ego tells you to.

Only initiate or escalate conflict IF you calculate the benefits of doing so outweigh the costs.

An ego boost does not count as a benefit, an insult does not count as a cost.
 
Bila discussion wakuu,

Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.

Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika na kumiliki magari.😔

Lakini mbio za sakafuni huishia ukingoni, na sisi men tuna waacha tu tuone wanafika wapi.

Visa ni vingi wakuu, lakini wanawake wanaforce kingi; yaani huna chochote lakini umpe.
Mtasema mengi ila narudia nilisema tuache kulalamika pisi kali zipo nyingi tuache kulia tutafute pesa, ukiwa na pesa ni ufalme na unapeta
 
Never enter into or escalate a conflict because your ego tells you to.

Only initiate or escalate conflict IF you calculate the benefits of doing so outweigh the costs.

An ego boost does not count as a benefit, an insult does not count as a cost.
This is truly ideal on the contrary our natural instincts perform poorly on this front in our life.
 
Back
Top Bottom