Siyo siri siku hizi wanawake wameota mapembe

Mapembe ni ishu ya nyota, wengi elimu hawana. Mwanamke mapembe ni nyota ya simba na ni mwanamke moto. Wewe ni punda, mbuzi, kondoo unaoa simba, lazima utapelekeshwa. Simba ni mfalme huwa juu. Ukiweka simba na mbuzi chumba kimoja ni lzm mbuzi ataliwa.
Hapo ni ishu ya elimu ya kuchagua. Rudi shule kachague upya, kwann ubebe mzigo wa malezi mabovu. Wazazi wanawalea watoto wao vibaya KISHA mzigo ubebe wewe nani kasema.
 
Hapo ndio tatizo huanza, malezi mabovu kutoka kwao.
 

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
UTACHAPIWA TU
UTAGONGEWA TU
 
Well said.
 
Unatakiwa kuwa na msumeno au mkasi wa haja wa kukata hayo mapembe, na unamuonyesha kabisa.



 
Sio kila mwanamke ni kwa ajili yako...

Ukiona huendani naye, achana naye...
 
Ukishajua kuzichanga karata zako vizuri, mwanamke si chochote kwa mwanaume otherwise mwanaume uwe lofa.
 
mwingine huyo anapigwa muda huu, duuuu nini hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…