Siyo siri siku hizi wanawake wameota mapembe

Mkuu labda hujakaa na mwanamke sahihi kwako.

Ushawahi kufikiri hilo?

Mimi mbona sijaweza kupelekeshwa hivyo, kwa sababu ninajua kuchagua.

Wewe je, umelazimisha kuwa na mtu asiye sahihi kwako?

Vumilia tu, hata Baba zetu baada ya kustaafu na kumaliza kiinua mgongo ndo wanasema kijana kaa na mke kwa machale, hata kwa umri wa 90 kuna siku mwanaume ata admit mwanamke changamoto.

Unajua kuchagua? Wachaa izunguke....
 
Vumilia tu, hata Baba zetu baada ya kustaafu na kumaliza kiinua mgongo ndo wanasema kijana kaa na mke kwa machale, hata kwa umri wa 90 kuna siku mwanaume ata admit mwanamke changamoto.

Unajua kuchagua? Wachaa izunguke....
Nivumilie nini?

Naona umejialika sana kwenye maisha yangu kama unanijua wakati hunijui.
 
Uwezo kuwaza kuoa karne hii

Kama huna balls za kuacha mwanamke

Hilo ndo linawacost
 
Uko sahihi kabisa mkuu.
Malezi mabovu kwa mtoto wa kike yanawasumbua watu wengi wasiokuwa na hatia kwenye ndoa.
Hasa Hawa watoto wa boarding kuanzia shule ya msingi na school bus
Wanalelewa hovyo Sana.
Hakuna wake wa kuoa kutoa kwenye Hilo kundi.
Ukitaka stress jichanganye
 
Pole. Usichukulie serious sana comments za humu. Ila kiukweli wanaume mmezidi kulalamika inabidi ifike wakati mjitafakari kwanza wenyewe.
Wanawake nyie pia sio waadilifu mnakamua watoto wa watu
 
Kweli asilimia zote iko hivo kundi bovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…