Uchaguzi 2020 Slogan ya CHADEMA katika uchaguzi ni "Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu". CCM slogan yao mwaka huu ni ipi?

Uchaguzi 2020 Slogan ya CHADEMA katika uchaguzi ni "Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu". CCM slogan yao mwaka huu ni ipi?

kikwete ndio alikuwa na slogan kali..ARI MPYA NGUVU MPYA KASI MPYA.ile slogan ingine ya miaka 5 siikumbuki
Maisha Bora kwa kila Mtanzania.

kwenye utekelezaji ikawa,

BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA.
 
Kama slogan zinapeleka watu ikulu, ninyi saccos mngeshinda. Maana mmekuwa na slogan utitiri, ila ufanisi zero kabisa. Mara mabadiliko lowasa, mara m4c, mara operation sangara, mara operation kimbunga ujinga mtupu. Watanzania tunahitaji viongozi Wazalendo, wenye kujua kuongoza kwa mfano sio porojo tu kwa kutaka huruma za wananchi.. Kajipangeni upya 2040 huko, hii 2020 mnapoteza rasilimali muda bure tu.
 
Slogan yetu ni 'Tutavalisha kofia wasanii kwa kadri itakavyowezekana'.
 
MPOLE NA MNYENYEKEVU hii chemistry haitally kwenye formula yake
 
Mwaka 2015 slogan ya CCM ktk uchaguzi huo kama nakumbuka vizuri ilikuwa HAPA KAZI TU...

Hii ndiyo imekuwa mwongozo tangu wakati huo tangu walipotangazwa washindi na mpaka sasa ktk shughuli za kiserikali...
[emoji3577] slogan zote zao

Polepole kusimama jukwaani anaona aibu [emoji16]
 
Kama slogan zinapeleka watu ikulu, ninyi saccos mngeshinda. Maana mmekuwa na slogan utitiri, ila ufanisi zero kabisa. Mara mabadiliko lowasa, mara m4c, mara operation sangara, mara operation kimbunga ujinga mtupu. Watanzania tunahitaji viongozi Wazalendo, wenye kujua kuongoza kwa mfano sio porojo tu kwa kutaka huruma za wananchi.. Kajipangeni upya 2040 huko, hii 2020 mnapoteza rasilimali muda bure tu.
Hakuna kiongozi mzalendo ndani ya ccm. Wao ndio walio ifikisha nchi hapa tulipo leo, miaka 60 baada ya uhuru watu hawana maji wanakunywa matope.
 
Hivi mutaacha lini upuuzi? Nchi hii ni mali ya CCM na CHADEMA? Munadhani huko ndo kuna wataalamu wa maisha yetu wa-TZ? Mbona hujauliza slogan ya TADEA, CUF, ACT, TLP, au unaamini CHADEMA ni kubwa sawa na CCM, wanachuana.

CHADEMA mumeonesha uzembe wa hali ya juu sana na kutukosea wa-TZ. Mwaka huu hamna wagombea wa kutosha, mwaka huu hamna wagombea udiwani wa kutosha. Ninyi munahangaikia Lissu utadhani kweli atashinda, badala ya kuhangaikia wabunge na madiwani ambao wangetusaidia kuwadhibiti CCM. OK, Lisu akishinda atapata wapi waziri mkuu maana hatakuwa na wabunge!

Acheni kutuletea majadiliano yenye uchafu kiasi hiki.
 
Hahaha bado wanaitafuta, vichwa vya nzige wale wanaelewa nini?
 
Tumeteketeza, tumetelekeza na tunasonga mbele.
 
Slogan yetu ccm ni
Ndege kwanza
Ubaguzi kwanza
Barabara kwanza.
Mitano tena ya ukandamizaji
Bila kusahau...
Mauaji kwanza.
Utekaji kwanza.
Visasi kwanza.
Uporaji kwanza.
Maneno ya kingono ngono.......kwanza.
 
Back
Top Bottom