Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
MAGUFULI mnyenyekevu, tunasonga mbele pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha Bora kwa kila Mtanzania.kikwete ndio alikuwa na slogan kali..ARI MPYA NGUVU MPYA KASI MPYA.ile slogan ingine ya miaka 5 siikumbuki
Maisha bora kwa kila mTanzania!kikwete ndio alikuwa na slogan kali..ARI MPYA NGUVU MPYA KASI MPYA.ile slogan ingine ya miaka 5 siikumbuki
Mpaka nimecheka kwa sauti. Kwa hiyo ni mitano tena ya maumivu kwa wananchi 😂😂😂Mwaka huu nasikia Slogan ya CCM ni Mitano tena!
[emoji3577] slogan zote zaoMwaka 2015 slogan ya CCM ktk uchaguzi huo kama nakumbuka vizuri ilikuwa HAPA KAZI TU...
Hii ndiyo imekuwa mwongozo tangu wakati huo tangu walipotangazwa washindi na mpaka sasa ktk shughuli za kiserikali...
Hakuna kiongozi mzalendo ndani ya ccm. Wao ndio walio ifikisha nchi hapa tulipo leo, miaka 60 baada ya uhuru watu hawana maji wanakunywa matope.Kama slogan zinapeleka watu ikulu, ninyi saccos mngeshinda. Maana mmekuwa na slogan utitiri, ila ufanisi zero kabisa. Mara mabadiliko lowasa, mara m4c, mara operation sangara, mara operation kimbunga ujinga mtupu. Watanzania tunahitaji viongozi Wazalendo, wenye kujua kuongoza kwa mfano sio porojo tu kwa kutaka huruma za wananchi.. Kajipangeni upya 2040 huko, hii 2020 mnapoteza rasilimali muda bure tu.
Bila kusahau...Slogan yetu ccm ni
Ndege kwanza
Ubaguzi kwanza
Barabara kwanza.
Mitano tena ya ukandamizaji