Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
yah kwenye android kuna ubaguzi sana kwanza watapewa marekani, japan, korea then watakuja ulaya ulaya then asia kawaida sisi africa wa mwisho pamoja na middle east.Mkuu simu yangu nimeangalia kwenye mitandao nimeona imeshapewa kitkat lakini kwenye software update nimeona kimya, inamaana hizi update wanachagua watu wa kuwapa au ni baadhi ya nchi tu.
Simu yangu ni xperia ZR.
yah kwenye android kuna ubaguzi sana kwanza watapewa marekani, japan, korea then watakuja ulaya ulaya then asia kawaida sisi africa wa mwisho pamoja na middle east.
ila inawezekana ku update mwenyewe idownload hio rom flash na odin tutorial zipo kibao just google tu
kalendi.... nina majibu yakutosha na maelezo yakina kuhusiana na ulichouliza.. ila najaribu kuangalia heading/post inahusiana na smartphone za bei rahisi... sasa kuanzisha elimu darasa hapa la solar sidhani kama tutakwenda sawa.. my advice... anzisha mada kuhusiana na hilo... nitashiriki kukuhabarisha.
huko duniani marekani na ulaya wameshapeana updates ila huku africa am not sure kama tayari, jaribu kwenda setting halafu about halafu software updates uoneMkuu hata mimi s4 yangu naweza update kuwa kitkat?
SHUKRAN CHIEF... mi ninaamini yafuatayo..
1... baadhi yetu hatuna muda wa kudadisi na kutafiti kuhusu tunayoyahitaji haswa simu.. nakujikuta tunanunua aidha kwasababu ndio toleo linalo hit au kwa kuwa recommended na marafiki
2... sina mashaka na simu latest iliyopo hewani HUAWEI G700 au HUAWEI P7 (kwa soko la huawei) kwasababu naamini washatoa matoleo mengi na kwa vile soko ni la ushondani... watakuwa wameboresha mapungufu mengi.
3...nimeona maelezo yako yame base kwenye kuwa nahofu na aidha kunitahadharisha ili niendelee kutafuta ukweli wa uimara na mapungufu..AHSANTE KWA HILO. but I WILL GO FOR IT. asante
Hata huawei wana simu nzuri sana na kwa bei nzuri,tatizo ni hilo hilo kama la lg,upatikanaji wake mgum sana
Kaka nimeiona aina ya simu ni LG F100s chief-mkwawa na mi sio mtundu wa hizi mambo nijuze hizo specs zake mkuu
Sasa kaka ka hayo ma specs yake sijui tv mara radio kama
Nilivyotuma hapo hivyo vitu vinakuaje au vinatumikaje??
Kaka chief-mkwawa nna samsung s3..korean version SHV-E210S...je naweza kuibadili operating system kwenda international version (I9300) na ikawa stable..