Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Mkuu simu yangu nimeangalia kwenye mitandao nimeona imeshapewa kitkat lakini kwenye software update nimeona kimya, inamaana hizi update wanachagua watu wa kuwapa au ni baadhi ya nchi tu.
Simu yangu ni xperia ZR.
yah kwenye android kuna ubaguzi sana kwanza watapewa marekani, japan, korea then watakuja ulaya ulaya then asia kawaida sisi africa wa mwisho pamoja na middle east.

ila inawezekana ku update mwenyewe idownload hio rom flash na odin tutorial zipo kibao just google tu
 
Mkuu hata mimi s4 yangu naweza update kuwa kitkat?
 
kalendi.... nina majibu yakutosha na maelezo yakina kuhusiana na ulichouliza.. ila najaribu kuangalia heading/post inahusiana na smartphone za bei rahisi... sasa kuanzisha elimu darasa hapa la solar sidhani kama tutakwenda sawa.. my advice... anzisha mada kuhusiana na hilo... nitashiriki kukuhabarisha.
 
Asante mkuu! Hata mimi nilijisahau kweli!
 
SHUKRAN CHIEF... mi ninaamini yafuatayo..
1... baadhi yetu hatuna muda wa kudadisi na kutafiti kuhusu tunayoyahitaji haswa simu.. nakujikuta tunanunua aidha kwasababu ndio toleo linalo hit au kwa kuwa recommended na marafiki
2... sina mashaka na simu latest iliyopo hewani HUAWEI G700 au HUAWEI P7 (kwa soko la huawei) kwasababu naamini washatoa matoleo mengi na kwa vile soko ni la ushondani... watakuwa wameboresha mapungufu mengi.
3...nimeona maelezo yako yame base kwenye kuwa nahofu na aidha kunitahadharisha ili niendelee kutafuta ukweli wa uimara na mapungufu..AHSANTE KWA HILO. but I WILL GO FOR IT. asante
 
Kaka nimeiona aina ya simu ni LG F100s chief-mkwawa na mi sio mtundu wa hizi mambo nijuze hizo specs zake mkuu
 
Attachments

  • 1401205358588.jpg
    1401205358588.jpg
    71.4 KB · Views: 239
Last edited by a moderator:
Hapo sijui matv out mara maredio yaani sijaelewa chochote kwa hiii screen shot bro
 
Mkuu hata mimi s4 yangu naweza update kuwa kitkat?
huko duniani marekani na ulaya wameshapeana updates ila huku africa am not sure kama tayari, jaribu kwenda setting halafu about halafu software updates uone
 
SHUKRAN CHIEF... mi ninaamini yafuatayo..
1... baadhi yetu hatuna muda wa kudadisi na kutafiti kuhusu tunayoyahitaji haswa simu.. nakujikuta tunanunua aidha kwasababu ndio toleo linalo hit au kwa kuwa recommended na marafiki
2... sina mashaka na simu latest iliyopo hewani HUAWEI G700 au HUAWEI P7 (kwa soko la huawei) kwasababu naamini washatoa matoleo mengi na kwa vile soko ni la ushondani... watakuwa wameboresha mapungufu mengi.
3...nimeona maelezo yako yame base kwenye kuwa nahofu na aidha kunitahadharisha ili niendelee kutafuta ukweli wa uimara na mapungufu..AHSANTE KWA HILO. but I WILL GO FOR IT. asante

ni kweli mkuu na hata unapomshauri mtu akili yako inabase na matumizi yako sometime huyo unaemshauri hata hatumii unavyotumia wewe. ila kama una access ya youtube ni muhimu kujua experience za wengine zipoje
 
Hata huawei wana simu nzuri sana na kwa bei nzuri,tatizo ni hilo hilo kama la lg,upatikanaji wake mgum sana

yaani hapo ndio napowashangaa wafanyabiashara wetu... maana juzi kati nilimaliza maduka yooote ya posta bila hata chembe ya mafanikio nikitafuta Motorolla Razr.
maana ni simu ina specs nzuri sana (kwa upande wangu).
kama kuna mtu anajua upatikanaji waje anijuze
 
Kaka nimeiona aina ya simu ni LG F100s chief-mkwawa na mi sio mtundu wa hizi mambo nijuze hizo specs zake mkuu

kaka nimeicheki ni simu nzuri specs zake pia ni kubwa inadesrve hio hela ila kuna vitu hivi unapaswa kujua

screen ratio.
hio simu ipo kwenye series ya lg inaitwa vu simu zake vioo vyake havina tofauti kubwa kati ya urefu na upana yani ratio ya kioo ni 4.3 ukiishika mkononi itakua inafeel tofauti na simu ya kawaida.
lg-optimus-vu.jpg

haina edge wala gprs
simu hii ina band 1 tu ya 3g yaani 2100 so hutaweza tumia 2g yoyote si edge wala gprs utapata network ukiwa mijini tu ukitoka tu nje ya mji hutapata network

battery isiotoka
kwa vile ni simu ya 2012 inabidi pia uliangalie japo unaweza kuibadili ila sio kirahisi kama battery inayotoka
 
Last edited by a moderator:
Sasa kaka ka hayo ma specs yake sijui tv mara radio kama
Nilivyotuma hapo hivyo vitu vinakuaje au vinatumikaje??
 
Vipi kuhusu Samsung Galaxy S4 Mini.Nasikia ni nzuri pia inatumia line mbili.Naomba anayejua udhaifu wake anijulishe.
 
Kaka chief-mkwawa nna samsung s3..korean version SHV-E210S...je naweza kuibadili operating system kwenda international version (I9300) na ikawa stable..
 
Attachments

  • 1401211076581.jpg
    1401211076581.jpg
    43 KB · Views: 185
Last edited by a moderator:
Natamani sana kununua Samsung Gallaxy NoteIII.anayejua ubora wake Tafadhali anisaidie.
 
Sasa kaka ka hayo ma specs yake sijui tv mara radio kama
Nilivyotuma hapo hivyo vitu vinakuaje au vinatumikaje??

kaka fm radio itafanya kazi ila hio tv si rahisi maana mara nyingi standard zao ni tofauti na za kwetu na hata zikiwa sawa kina startimes sijui kama wanaruhusu
 
Kaka chief-mkwawa nna samsung s3..korean version SHV-E210S...je naweza kuibadili operating system kwenda international version (I9300) na ikawa stable..

kaka hizo namba zinamaanisha hardware na sio software mfano yako ina lte na ram kubwa kuliko i9300. unaweza kubadili rom ila huwez kuweka rom ya i9300 maana unaweza kubrick simu. ila inawezekana developer kuport rom ya i9300 kwenye simu yako kama vile walivyoport rom ya s5 na s4 kwenye s3. kuhusu stability hilo litategemea na uwezo wa huyo developer.

jaribu kugoogle touchwiz rom za simu yako then zifanyie analysis ili kujua ipi inakaribiana na na i9300
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom