Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
yah kwenye android kuna ubaguzi sana kwanza watapewa marekani, japan, korea then watakuja ulaya ulaya then asia kawaida sisi africa wa mwisho pamoja na middle east.Mkuu simu yangu nimeangalia kwenye mitandao nimeona imeshapewa kitkat lakini kwenye software update nimeona kimya, inamaana hizi update wanachagua watu wa kuwapa au ni baadhi ya nchi tu.
Simu yangu ni xperia ZR.
ila inawezekana ku update mwenyewe idownload hio rom flash na odin tutorial zipo kibao just google tu