Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka eka tu store nyengine kama 1mobile market na amazon app store zitafanya kazi kama playstore. Kama still unataka playstore itabidi uroot then ueke cwm au twrp then uflash google play service package ndio utapata app za google
Hii Samsung Galaxy Duos 2 GT-S 7582 wataalam mnisaidie iko poa hasa kwenye upande wa chipset na mengineyo ?
Kaka mi nimenunua galace sq 9700 nataka kujua unaweza kuingia kwenye ulmwengu wa android.mana ishu nyngne fb,twitter saf ila whatsup,utube vdeo znaenda slow smetme tofaut na pcha
sidhan kama hio simu ni android kaka inaweza tu kuwa mchina wenye java. Kuhusu youtube eka lowest resolution yaani 144p utaweza kustream hata na edge
ni nzuri lakini touchwiz ni nzito sana usitegemee perfomance kubwa
chief hapo kwenye lowest resolutio niipate wapi ktk s4 maana na mimi sina mtandao wa 3g ktk eneo niliposidhan kama hio simu ni android kaka inaweza tu kuwa mchina wenye java. Kuhusu youtube eka lowest resolution yaani 144p utaweza kustream hata na edge
chief hapo kwenye lowest resolutio niipate wapi ktk s4 maana na mimi sina mtandao wa 3g ktk eneo nilipo
wewe unafanya kazi kwa duka la cm... vp seamens 56?
kaka kwa s4 kuplay 144p itakua ni chenga hutaona kitu. Kioo cha s4 ni 1080p ni karibia mara 7 ya hio hapo juu. Kwa wewe ni bora udownload videa atleast 360p. Download youtube mpya kuchagua resolution