Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Japo wanasema tecno c nzur ila m3 ni c hatari nimetumia haijawah kunipa matatizo kabisa
 
kaka eka tu store nyengine kama 1mobile market na amazon app store zitafanya kazi kama playstore. Kama still unataka playstore itabidi uroot then ueke cwm au twrp then uflash google play service package ndio utapata app za google

Kaka nimeweka 1mobile market inapiga kazi na nimedownload google+ imegoma kuinstall google play service na google map zinaniandikia unfortunately google play service has stopped sijui tatizo kama vipi naomba tips za kuflash google play service
 
Hii Samsung Galaxy Duos 2 GT-S 7582 wataalam mnisaidie iko poa hasa kwenye upande wa chipset na mengineyo ?
 
Kaka mi nimenunua galace sq 9700 nataka kujua unaweza kuingia kwenye ulmwengu wa android.mana ishu nyngne fb,twitter saf ila whatsup,utube vdeo znaenda slow smetme tofaut na pcha
 
Kaka mi nimenunua galace sq 9700 nataka kujua unaweza kuingia kwenye ulmwengu wa android.mana ishu nyngne fb,twitter saf ila whatsup,utube vdeo znaenda slow smetme tofaut na pcha

sidhan kama hio simu ni android kaka inaweza tu kuwa mchina wenye java. Kuhusu youtube eka lowest resolution yaani 144p utaweza kustream hata na edge
 
sidhan kama hio simu ni android kaka inaweza tu kuwa mchina wenye java. Kuhusu youtube eka lowest resolution yaani 144p utaweza kustream hata na edge

tanx kwa hiyo ishu kama whatsup nisahau kabisa
 
sidhan kama hio simu ni android kaka inaweza tu kuwa mchina wenye java. Kuhusu youtube eka lowest resolution yaani 144p utaweza kustream hata na edge
chief hapo kwenye lowest resolutio niipate wapi ktk s4 maana na mimi sina mtandao wa 3g ktk eneo nilipo
 
Asante sana kwa elimu hii Chief-mkwawa, Lakini kuwa makini na baadhi ya comments zako kwani kampuni ya MediaTek niya Taiwan , Na makampuni mengine yote yanayozalisha Chip hizo, Marekani anaubia. MediaTek, hana ubia na Marekani , ndiyo maana kuna propaganda kali kutoka Marekani kuiangusha kampuni hiyo , Kwani kampuni nyingi za Electronics devises wameanza kutumia MediaTek Chip kwa sasa, kwani zina ubora sana. Chip za washilika wa Marekani zinakosa market .Vita ina anzia hapo.
 
Mm yang lg l920 nataka kuuza ila kaka yangu amesema nisiuze ni nzir na adimu sana sokon no kweli,nipe maijuz yake
 
chief hapo kwenye lowest resolutio niipate wapi ktk s4 maana na mimi sina mtandao wa 3g ktk eneo nilipo

kaka kwa s4 kuplay 144p itakua ni chenga hutaona kitu. Kioo cha s4 ni 1080p ni karibia mara 7 ya hio hapo juu. Kwa wewe ni bora udownload videa atleast 360p. Download youtube mpya kuchagua resolution
 
kaka kwa s4 kuplay 144p itakua ni chenga hutaona kitu. Kioo cha s4 ni 1080p ni karibia mara 7 ya hio hapo juu. Kwa wewe ni bora udownload videa atleast 360p. Download youtube mpya kuchagua resolution

pamoja sana chief
 
Chief Mkwawa na wataalam wengine ndani ya jukwaa pendwa naomba kueleweshwa kuhusu smartphone yenye Internal memory 4GB halafu ina uwezo hadi 64 !

Je kwa simu hii ikiwa na vitu hivi toka Play store
Whatsapp
Callblocker
Tomcat
Bible
NQ security
Vaulty
Camscanner
Telegram
Soundhound
Goal.com
Barcode
Tubemate
Ningependa kujua kwa ukubwa wa hivi vitu vinapohitaji update havitaifanya simu siku za mbeleni kusema Insafficient memory(Remove some app)
 
Back
Top Bottom