Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Nyie nyani wa pemba wabaguzi sanaMnashindwa kulea mnakwenda kuwatupa watoto Zanzibar au mna agenda zingine?
Wachunguzwe wote wanaowapa hifadhi na wapi wanatokea, wanaowapa hifadhi na wakotokea warudishwe makwao.
Kumbuka tu" Mimi Mtanganyika. sijawahi kuwa Mpemba, lakini sijawahi kuuona ubaguzi visiwani, ubaguzi nauona kwa machogo tu.Nyie nyani wa pemba wabaguzi sana
Kati ya Kenya na Zanzibar ni sehemu gani kuna urahisi kupandikizwa kwa fikra za kigaidi??Mbona Kenya tunapakana nao au adui ni lazima apitie Zanzibar pekee na ni adui wa nini? haya ni mawazo ya kijinga sn
Machogo ndio nini?Ma-Chogo hamjielewi
Suala lilikua ni dini, Nyerere ananukuliwa akisema 'ningeweza,ningevisukuma visiwa vya Zanzibar mbali na Tanganyika'..Mbona Kenya tunapakana nao au adui ni lazima apitie Zanzibar pekee na ni adui wa nini? haya ni mawazo ya kijinga sn
Kwahiyo Zanzibar asili yao ni ugaidi?Kati ya Kenya na Zanzibar ni sehemu gani kuna urahisi kupandikizwa kwa fikra za kigaidi??
Pia jifunze kujibu hoja sio kukimbilia kuwaattack watu.
Kazi ya JWTZ nini kama tunaogopa Zanzibar wataingiza magaidi?Suala lilikua ni dini, Nyerere ananukuliwa akisema 'ningeweza,ningevisukuma visiwa vya Zanzibar mbali na Tanganyika'..
Jibu swali kwanza ndio uulize.Kwahiyo Zanzibar asili yao ni ugaidi?
Nakwambia ni dini, Zanzibar ingekua ground ya kuupa nguvu uislam Tanganyika hata Kama wangebanwa Tanganyika, sababu Kama adui kuingia tz,tz inapakana na nchi nyingi mipaka ya ardhiniKazi ya JWTZ nini kama tunaogopa Zanzibar wataingiza magaidi?
Maliza kazi ako kwanzaJibu swali kwanza ndio uulize.
Kwahiyo uislamu maanake ni ugaidi?Nakwambia ni dini, Zanzibar ingekua ground ya kuupa nguvu uislam Tanganyika hata Kama wangebanwa Tanganyika, sababu Kama adui kuingia tz,tz inapakana na nchi nyingi mipaka ya ardhini
Mbona unauliza maswali ya kijinga!?Kwahiyo uislamu maanake ni ugaidi?
Sister usipanic, nataka kuelewaMbona unauliza maswali ya kijinga!?
Nyerere hakutaka kuwa mwanasiasa Bali padre,alizuiwa kuwa padre na askofu wa kizungu,akaja kwenye siasa na kupenyezwa tanu,alipopata uhuru miaka Saba baadae akaingia field kuvunja taasisi ya kiislam iliyounganisha waislam wote na ikiwa na misuli ya kifedha,akaunda bakwata, nadhani unaiona,utawala wake hapakuwahi kuwa na Waziri wa elimu muislam,Ila padre chiwanga alikua Waziri,mpaka 1988 ndiyo Waziri wa kwanza muislam kushika hiyo wizara,na kipindi chote hicho waliofaulu shule za msingi wengi wakiwa wakiristo,elimu ndiyo kigezo Cha kushika nyadhifa tofauti serikalini,Sasa ukiiacha Zanzibar ikawa na mifumo yake ya elimu na mengine,na wazanzibar Wana mafungamano na wabara,maana yake Hawa waislam wa Tanganyika wataenda kuelimika na kupata misaada mingine Zanzibar,so kuungana na Zanzibar Kisha kuimeza,kutasaidia Sana katika kutimiza agenda,yaani ni wakala wa kanisa serikalini,ndiyo maana wapo kwenye mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu,kwa makubwa aloyowafanyiaSister usipanic, nataka kuelewa
Waislamu asili yao hawapendi shule hata huko uarabuni, so kwa maelezo yako uislamu ni ugaidi?Nyerere hakutaka kuwa mwanasiasa Bali padre,alizuiwa kuwa padre na askofu wa kizungu,akaja kwenye siasa na kupenyezwa tanu,alipopata uhuru miaka Saba baadae akaingia field kuvunja taasisi ya kiislam iliyounganisha waislam wote na ikiwa na misuli ya kifedha,akaunda bakwata, nadhani unaiona,utawala wake hapakuwahi kuwa na Waziri wa elimu muislam,Ila padre chiwanga alikua Waziri,mpaka 1988 ndiyo Waziri wa kwanza muislam kushika hiyo wizara,na kipindi chote hicho waliofaulu shule za msingi wengi wakiwa wakiristo,elimu ndiyo kigezo Cha kushika nyadhifa tofauti serikalini,Sasa ukiiacha Zanzibar ikawa na mifumo yake ya elimu na mengine,na wazanzibar Wana mafungamano na wabara,maana yake Hawa waislam wa Tanganyika wataenda kuelimika na kupata misaada mingine Zanzibar,so kuungana na Zanzibar Kisha kuimeza,kutasaidia Sana katika kutimiza agenda,yaani ni wakala wa kanisa serikalini,ndiyo maana wapo kwenye mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu,kwa makubwa aloyowafanyia
So uarabuni hakuna shule!?Waislamu asili yao hawapendi shule hata huko uarabuni, so kwa maelezo yako uislamu ni ugaidi?