Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Uandishi wako unakuweka kundi la hao unaowakemea.Ni hatari sana inapofika pahala kichaa anapocheka vichaa wenzakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ“Œkila mtu anachanganyikiwa kwa muda wake.
 
Uandishi wako unakuweka kundi la hao unaowakemea.Ni hatari sana inapofika pahala kichaa anapocheka vichaa wenzakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ“Œkila mtu anachanganyikiwa kwa muda wake.
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwamba mwamba amechanganyikiwa muda huu next time atakuwa poa min -me Intelligent businessman

Mi nadhani tangia nimezaliwa na nimetembea sijwahi kuona mtu mwenye upeo mkubwa akili anawazomea wasio na akili

Yani huyu ni mwenzetu ambaye kichaa kimepanda kwa muda huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii mitaa pia kuna watu wenye miaka 50s wanaishi maisha ya 20s ko kupanga ni kuchagua
Yeah lakini ni vyema kutoa maneno ya hekima na kurespond vizuri.
Sio mtu anatoa maneno ya kejeli, kashfa au matusi I'll still consider people like this Wana low IQ.

Watu wenye IQ kubwa huwa waungwana sana na wastaarabu.

Lakini, JF is full of great thinkers I really appreciate that mkuu. The problem comes to low IQ expert on JF
 
Ni kichekesho kabisa kijana kavurugwa na kavurugika🀣🀣🀣🀣🀣

Amekosa wa kusupport mashudu yake ameanza kuforce watu wakubaliane na mlengo wake wa kimawazo.

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒHizo ni dalili za low EQ.
 
Ni kichekesho kabisa kijana kavurugwa na kavurugika🀣🀣🀣🀣🀣

Amekosa wa kusupport mashudu yake ameanza kuforce watu wakubaliane na mlengo wake wa kimawazo.

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒHizo ni dalili za low EQ.
Sasa ndio hata mimi nilikuwa namuambia kuwa kama wewe ungekuwa una akili kubwa kutuziidi wala usingehangaika kubsishana na watu ila yeye anatapika tapika tu humuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯³
 
Hajui watu wenye high IQ hata wanavyobehaveπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ“ŒTunaishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuendelea kuwafanya vijana wachanganyikiweπŸ‘πŸ‘πŸ€—
 
Kama ujazoea kujiamini basi kujiamini utahisi ni ujeuri au maringo

Kama ujazoea ku take action kwenye mambo yako basi kufanya hivyo utahisi kama ni ugomvi/uchokozi

Kama ujazoea kujipa kipaumbele basi kufanya hivyo utahisi kama ni ubinafsi

Hivyo mara nyingine sio mtu kasema au kafanya nini ila ni wewe umezoea nini
 

Ulisahau kuweka mfano la low IQ lakini umejitokeza kwa comment section πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…