Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Walio wengi wanafanya utafiti
 
mimi nashangaa watu wanatokwa na mapovu wakati option za kuignore watu usiwataka kuwaona ipo.

Pia mtu yoyote anayohaki ya kufungua nyuzi kadri ya uwezo na pumzi yake.Sasa yanini mtu anapandisha sukari kwa vitu unavyoweza kuvicontrol.
Usi kute na jasho Lina mtoka, huku mapigo ya moyo yako speed Kama treni😂🤣
 
Tumechoka kuwa serious
😂😂😂😂😂😂😂

Mallerina nimecheka sanaaa hadi nimemwaga maji ya shemu ya kuoga, sijui atanifukuza😂

min -me Intelligent businessman karibu tule ndio nimepakua ugali baada ya kumpelekea shemeji maji ya kuoga.

Sasa sijui mtoa mada mwenye akili kubwa amegundua elikopta ya kutupeleka juani au amejikunja kama mimi na ugali wa shem
 
Usi kute hata huo ugali wa Shem bado haja ula, mpaka aoshe vyombo 🤣 😂
 
DJ chukua 🎤 🎙️ MAKOFI matatu Kwako 😊.

Upo sahihi.
 
komasavaa jamaa yangu sana tunachuana mno kwenye nyuzi zake😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…