Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Kiranga, watu waoweza kujibu hoja kwa hoja ni wachache sana. Wengi wana commit logical fallacies hasa hasa ad hominem
Naam.

Ad hominem.
Non sequitur.
False dichotomy.
Hasty generalization.
Special pleading.
Argument from authority.
Argument from tradition.

Hizi ni baadhi ya logical fallacies ambazo naziona sana.
 
Sisi wengine ni ma jobless pro max, cc min -me, dosho12
 
Naam.

Ad hominem.
Non sequitur.
False dichotomy.
Hasty generalization.
Special pleading.
Argument from authority.
Argument from tradition.

Hizi ni baadhi ya logical fallacies ambazo naziona sana.
Ni ngumu kujibu hoja kwa hoja kama una mihemko. Nakiri kuwa na mimi huwa na commit logical fallacies 😎
 
Hivi kwa Tanzania Kuna mna mtu siyo low IQ ukianzia uongozi wa juu?

Tunahitaji msaada wa afya ya akili.
Mfumo waloutengeneza ccm ni kuweka watu wajinga ili WAWEZE kupokea maelekezo kama yanavyotolewa na huo uongozi wa juu, Tanzania watu wenye akili nyingi wapo sana ila hawapewi nafasi sababu hawawezi kuendeshwa kama unavyotaka, ebu fikiria taratibu, kwanini machawa woote ni ccm ? Mwinjaku and the likes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…