Eh Shemeji mpishi ama mvuvi?πππππ Shs 70,000 kwa mweziπππππ
Nimecheka hadi shemeji ameshtuka na alikuwa amekuja kulala aamkie zamu ya jioni katika kampuni ya mtoa madaa
Ila mkuu sasa hii ndio utamu wa JF πππ mambo kama hayo unayaacha tu ynapita kwa maana hayataacha kuja humu
Humu kila mtu ni tajir, ana iq kubwa, ana biashara k kooπππ
Shem wako anarud saa ngap kuja kukutuma ukamletee karanga na maziwa mgandoAt what logical extent do u propose yourself to be of high intelligence than anyone who oppose, diss or disagrees with u.
Then,
This proves that u are a highly emotional sweet baby who is afraid of being criticised.
Kama JF hauiwezi, angalia porno siku nzima.
Sema hii comment imenifanya nichekeπ€£π€£π€£π€£π€£, anywei, kwako Tajiri Sinabay ...Hii inawezekana mkuu kuna kijana maskini juzi juzi juzi tu leo ni tajiri hana baya.
πShem wako anarud saa ngap kuja kukutuma ukamletee karanga na maziwa mgando
Mtu mwenye IQ kubwa hukaa kimyaAt what logical extent do u propose yourself to be of high intelligence than anyone who oppose, diss or disagrees with u.
Then,
This proves that u are a highly emotional sweet baby who is afraid of being criticised.
Kama JF hauiwezi, angalia porno siku nzima.
Bora chizi kuliko kichaaMleta uzi si unamuona huyo chizi niliekutolea mfano hapo juu kashajibu, sasa huyo ukibishanana nae unakua na wewe ni chizi
pole mkuu, haikuwa lengo langu.ππππAisee nina kigugumizi, maana jina lake refuπ€£π
Ana IQ kubwa walahi. Miezi tisa tu keshamaliza Advance, Chuo, kafanya biashara Mwaka mzima, kesha somea programming, ana bwawa la samaki n.k n.k , Hana baya hana baya ase
Ni IQ.
Omba ushauri Min me na ww uwe tajiri mkuu.
Hahaha au ni watu wa madhabahu kama tajiri Mallerina alivyo ?Ana IQ kubwa walahi. Miezi tisa tu keshamaliza Advance, Chuo, kafanya biashara Mwaka mzima, kesha somea programming, ana bwawa la samaki n.k n.k , Hana baya hana baya ase
Ni IQ.
Omba ushauri Min me na ww uwe tajiri mkuu.
Umenena vyema mkuu, japo matusi sio mazuri ila mitandao ya kijamii unaichukulia tu kama ilivyo , kiufupi huku mtu anaweza onekana mwehu kama BICHWA KOMWE - ila deep down ni mtu makini mno na ana mchango mkubwa mno kwa jamii.Hapa nipo shambani kwangu, na bikijibu baadhi ya maoni ya waungwana tu. Hii inaonyesha kwamba katika maisha huwezi kushindana na kila mtu.
#Lazima ufikiri kwa kina kwa nini mtu huyu yuko hapa sasa! Kwanini asiwe shule au chuo? Fikiria mara mbili, tunasaidia watu kupitia mawazo ya wengine. Mwaka 2024, nilikuwa naandika uzi kuuliza ushauri, ilikuwa ni utafiti tu. Kuna watu huko nje wanasaidiwa kupitia mawazo ya waungwana.
Katika suala la biashara, kila mtu ana mifumo yake na njia zake za kutengeneza pesa. Katika maisha halisi, hakuna anayenifahamu, jina hili ni la bandia(Fake name).
'Humjui nani unae interact naye maishani, pengine ndiye muajiri wako.'
Juzi juzi kumbuka ulidai hauna kazi upo upo tu unaukumbuka huo uzi ? Au ndio madhabahu zenyewe hizo?Siwambii kila kitu,πΉ
Sio kwel mkuu hata goigoi anaweza kuvunga hivyo
Sad aiseeMfumo waloutengeneza ccm ni kuweka watu wajinga ili WAWEZE kupokea maelekezo kama yanavyotolewa na huo uongozi wa juu, Tanzania watu wenye akili nyingi wapo sana ila hawapewi nafasi sababu hawawezi kuendeshwa kama unavyotaka, ebu fikiria taratibu, kwanini machawa woote ni ccm ? Mwinjaku and the likes