Socrates, Plato na Nietzsche: Siyo kila mtu anatakiwa kuwa kiongozi

Dunia yetu inakwama kwasababu tunakataa uhalisia ambao umekuwepo tokea kitambo, binadamu hatufanani.
Kuna wanadamu ambao huzaliwa wakiwa na akili kubwa kuliko wengine, kimtazamo, kiutendaji na ubunifu. Katika vitu ambavyo huwa tunadanganywa ni kwamba kila mwanadamu anaweza kuwa mbunifu au kiongozi. Huu ni uongo wa hali ya juu mno ambao ndiyo unaitafuna Afrika isiendelee. Wanasiasa wako wengi lakini, ni waongeaji watupu wasiokuwa na uwezo mkubwa kiutendaji na kiubunifu.

Tunaiga demokrasia za Magharibi, ila ukweli mchungu ni kwamba demokrasia za kule zilifanywa na watu waliothibitishwa na jamii kuwa na uwezo wa kiuongozi (Aristocrats). Uingereza, watoto wenye akili walisomeshwa shule za kanisa, halafu wakapelekwa vyuo kama Oxford na Cambridge. Miaka zaidi ya 100, Waziri Mkuu wa Uingereza alikuwa hatoki nje ya chuo cha Oxford. Walivyoacha huu utaratibu wakaanza kupata majanga.

Vivyo hivyo Marekani, walitengeneza mfumo maalum wa kupata viongozi ambao ndiyo umeisaidia Marekani kufika hapa ilipo. Walipoacha huu mfumo na kuanza kuleta mambo ya haki sawa na kujaza kila mwanamke na mweusi kwenye mfumo hata wale ambao hawana uwezo ati kisa kuleta usawa, ndiyo sasa wanakinywea.

Hata hapa Tanzania ukianza kufuatilia vizuri ni kwamba wale waliosomeshwa na mkoloni, mbali tu na kupewa upendeleo, ila kiukweli MOST WERE INTELLECTUALLY SUPERIOR. Watanzania ambao Nyerere aliwakuta wako sekondari za mkoloni walikuwa ndiyo THE FINEST OF ALL TANZANIANS/TOP BRASS YA NCHI. Wajamaa walipoanza kuleta UPUUZI wa kusema kila mtu ni sehemu ya serikali ndiyo matatizo ya muda mrefu yakaanza. Ukweli ni kwamba wengi wanaweza wakaenda shule hata kupata Division I, wakawa hodari wa kuzungumza au kujenga hoja lakini hawawezi kuongoza. Being a Good Leader is a Genetic Gift Not Everyone is Born With.

Ndugu zangu watanganyika ni lazima hili tulifahamu vizuri, UONGOZI SIYO ASALI KILA MTU AKALAMBA. Wengine sisi ni watandaji wazuri ambao tunatakiwa tuajiriwe au tujiajiri kwenye kada za sheria, afya, uchumi na burudani ili tusogeze uchumi mbele. Najua hili litawakera wengi, ila ukweli ni kwamba watanzania wengi ambao ni viongozi waandamizi hawakutakiwa kabisa kushika nyadhifa.

Watoto na Wajuu wengi wa machifu wa kiasili waliweza kuwa watawala wazuri kuliko watu ambao kwao hakuna historia ya uongozi. Mkoloni alilifahamu hili vizuri ndiyo maana akaanza kuwatumia katika kuwatawala Waafrika wenzao. Kiukweli, tunakwama sana pale ambapo tunaamini kila mtu maarufu anaweza akawa mbunge.
True

Ni kweli si kila mtu anafaa kuwa kiongozi

Hata hivyo nchi za Afrika hazihitaji viongozi wa dizaini hiyo, Ukiwa hivyo utahujumiwa hadi utafeli au usipoangalia utatangulizwa akhera mapema tu
 
You can read na don't be educated.
Ntarejea biblia. Yesu mtume na kwa wengine mtume, nabii na Mungu. Alichagua watu pasi na kujali jinsi watu wanavyowaona. Lakini walikuwa na kitu ambavhi Yesu alikiona kwao ili wawe viongozi wa kikanisa.

Alipokufa mmoja kati ya wale 12. Wale 11 wakamchagua Mathias. Lakini Yesu akamchagua Paulo muuaji, mpagani, moinga Kristo. Hapa Yesu anatufundisha kuwa kiongozi kama hana utashi na ujasiri wa kusimamia jambo hata kugharimu maisha yake huyo hapaswi kuwa kiongozi.

Mitazamo ipi mingi juu ya kiongozi bora. Mtoa mada kasema kuhusu genealogy ya machifu. Na ni kweli angalia Burritos, Sinas, Kabakas, Meri, Machembas, Mkwawas etc. Ndiyo maana hata viongozi waleo wanajihusisha na uchifu au kupewa uchifu ktk makabila fulani fulani kwa dhana ya kupata ridhaa na kukubalika kiuongozi.

Lakini ukipima, au ukitazama kizazi hiki cha viongozi wa sasa au niseme hata Ike genealogy ya kizazi cha kwanza cha Uhuru ama kizazi cha machifu wengi ukianzia kusini mpka magharibi ya Africa wamekosa utashi wa kiuongozi au dhana nzima ya ukombozi wa kifikra, utamaduni na uchumi ilimezwa na uhuru wa kisiasa.
Ninalolisema liko hata kibiblia, msisahau kabisa. Tokea kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo utakutana nayo haya.

Musa alipoambiwa aunde kundi la wapelelezi wa Israel, kigezo kikubwa cha YAHWEH kilikuwa ni kuwatafuta wale ambao ni BEST OF THE BEST IN THE TWELVE TRIBES. Hapo namaanisha kihulka na kimwili. Hawakuchaguliwa tu. Hata Bwana Yesu alipochagua mitume 12, kuna mambo aliyazingatia na akaanza kuwaandaa kwa miaka 3 mfululizo. Hata Paulo, alikuwa ni AN EXTREME DISTINGUISHED SCHOLAR IN JUDEA.

Paulo alikuwa ni mwanafunzi wa Gamalieli (The Most Respected and Distinguished Teacher of Law) in all of Judea. Lakini pia Paulo kwao walikuwa ni matajiri wa kutupwa (Very Wealthy), ndiyo maana Baba yake aliweza kumnunulia uraia wa Rumi, kitu ambacho Myahudi wa kawaida asingeweza kuwa nacho. Alizijua tamaduni za dunia na kuwafahamu watu, Paulo alifanya hadi mjadala na Kaisari Nero. Ndiyo nakubali mtu anaweza akawa hajasoma lakini akawa kiongozi mzuri, ndiyo tunarudi kwamba kuna mambo mtu huzaliwa nayo, hajifunzi popote. Kinachohitajika tu ni kuandaliwa vizuri.

Upande wa Pili, there's a theological explanation to leadership. Leaders are annoited by the Holy Spirit. If a person become anointed, he becomes spiritually anchored to God. Ndiyo maana kitabu cha Samweli kinasema, baada ya Sauli kupakwa mafuta, moyo wake ukabadilika na akawa mtu mwingine. Vivyo hivyo kwa Daudi, vivyo hivyo kwa Bwana Yesu, vivyo hivyo kwa Mitume.

Ila hizi blah blah za kuokoteza wahuni wanaolala kwa waganga, kuchanjwa chale hadi kwenye makalio na kufanya ulozi ndiyo mnawapa madaraka, mtasuburi sana.....​
 
Ukisoma Book 7 of the Republic, Plato anaanza kumuongelea mwalimu wake Socrates. Ambapo binafsi na akili zake zote alikataa kabisa mfumo wa Demokrasia. Akatoa mfano wa Meli & Nahodha, kwamba nahodha anvyoongoza meli anafanya hivyo kwasababu amefundwa. Lakini pale abiria anapotamani na yeye awe nahodha hata kama hana utaalamu shida lazima itokee. Abiria wote wakianza kusema tupige kura tumchague nahodha wetu, basi tegemea hata wale ambao hawana uwezo ili wanakubalika watakuwa manahodha.

Hili ndilo lilichangia mabwanyeye wa Athene wamuue bwana Socrates kwasababu waliambiwa ukweli ambao hawataki kabisa kuusikia. Athene ilitawaliwa na wapiga domo (Sophists and Demagogue) ambao mbali na utaalamu wa maneno, hawakuwa na maono au uwezo wa kuingoza nchi ile kufika mbali. Hili ndilo linaikuta Tanganyika, halafu tunalaumu ila ukweli ni kwamba MIZEE MINGI YA COLD-WAR ambayo inashikilia CHAMA, JESHI na TISS haitakiwi kabisa iendelee kuwepo pale. Mingi imefika pale kwa AFFIRMATIVE ACTION ya Israel Elinewinga, not MERITOCRACY.​
Hilo ndio tatizo la democracy ‘popularity wins, over merit’ according to Socrates. Ukiacha watu wafanye maamuzi wenyewe watachugua mtu wanaempenda badala ya mtu anaewafaa, hivyo busara ni kutengeneza viongozi wanaofaa.

Ndio maana akapendekeza a meritocracy system ya uongozi ambapo watu wenye uwezo waendeshe nchi permanently.

Na huo ndio mfumo wa west, msingi wa stability ya nchi zao ni ‘civil services’ sio wanasiasa na huko awaokoti tuu. Ukisikia katibu mkuu wa wizara ni kwamba katengenezwa kweli kweli hiyo wizara au sector anaijua kinaga ubaga through succession planning na yeye mwenyewe ni technocrat wa sector husika na ufaulu wake auna mashaka kuanzia elimu ya awali.

Civil servants ndio watu wanaoongoza hizo nchi technically na kuhakikisha wanasiasa wanafanya maamuzi kupitia kiini macho; maamuzi ya wanasiasa hayavuki mipaka ya national interests wanazopanga wao civil services.

Kwa hivyo civil services, inatumika kama njia ya ku-circumvent dangerous people choices ya wanasiasa. Uwezi kwenda against national interest nchi za wenzetu ukakaa kwenye uongozi kwa muda mrefu utafanyiwa fitna tu ya kukutoa na maamuzi mengi makubwa ya nchi ushauriwi na chama bali appropriate qualified ‘civil servants’.

Tanzania tuna mfumo huo, ila wataalamu wanaishia ngazi ya wakurugenzi wa wizara tu (wengi wao ukiwasikiliza ni technocrats kweli kweli kushinda makatibu wakuu wa wizara).
 
Ndio maana akapendekeza a meritocracy system ya uongozi ambapo watu wenye uwezo waendeshe nchi.

Na huo ndio mfumo wa west, msingi wa stability ya nchi zao ni ‘civil services’ sio wanasiasa na huko awaokoti tuu. Ukisikia katibu mkuu wa wizara ni kwamba katengenezwa kweli kweli hiyo wizara au sector anaijua kinaga ubaga through succession planning na yeye mwenyewe ni technocrat wa sector husika.

Civil servants ndio watu wanaoongoza hizo nchi technically na kuhakikisha wanasiasa wana maamuzi kupitia kiini macho; maamuzi yao hayavuki mipaka ya national interests wanazopanga wao.

Kwa hivyo civil services, inatumika kama njia ya ku-circumvent dangerous people choices ya wanasiasa. Uwezi kwenda against national interest nchi za wenzetu ukakaa kwenye uongozi kwa muda mrefu utafanyiwa fitna tu ya kukutoa.
All American Presidents are related by blood. It's awkward, sounds conspiratorial. But nevertheless, a fact.
All American Presidents are related by blood to King Charles the Great (Charlemagne the great) this is also a fact.
Thomas Jefferson established the Electoral College to make sure that demagogues don't ascend the heights of power.
American and Britain, emulated the Roman governance, that is Mixed Government which proves to be highly effective.
 
Dunia yetu inakwama kwasababu tunakataa uhalisia ambao umekuwepo tokea kitambo, binadamu hatufanani.
Kuna wanadamu ambao huzaliwa wakiwa na akili kubwa kuliko wengine, kimtazamo, kiutendaji na ubunifu. Katika vitu ambavyo huwa tunadanganywa ni kwamba kila mwanadamu anaweza kuwa mbunifu au kiongozi. Huu ni uongo wa hali ya juu mno ambao ndiyo unaitafuna Afrika isiendelee. Wanasiasa wako wengi lakini, ni waongeaji watupu wasiokuwa na uwezo mkubwa kiutendaji na kiubunifu.

Tunaiga demokrasia za Magharibi, ila ukweli mchungu ni kwamba demokrasia za kule zilifanywa na watu waliothibitishwa na jamii kuwa na uwezo wa kiuongozi (Aristocrats). Uingereza, watoto wenye akili walisomeshwa shule za kanisa, halafu wakapelekwa vyuo kama Oxford na Cambridge. Miaka zaidi ya 100, Waziri Mkuu wa Uingereza alikuwa hatoki nje ya chuo cha Oxford. Walivyoacha huu utaratibu wakaanza kupata majanga.

Vivyo hivyo Marekani, walitengeneza mfumo maalum wa kupata viongozi ambao ndiyo umeisaidia Marekani kufika hapa ilipo. Walipoacha huu mfumo na kuanza kuleta mambo ya haki sawa na kujaza kila mwanamke na mweusi kwenye mfumo hata wale ambao hawana uwezo ati kisa kuleta usawa, ndiyo sasa wanakinywea.

Hata hapa Tanzania ukianza kufuatilia vizuri ni kwamba wale waliosomeshwa na mkoloni, mbali tu na kupewa upendeleo, ila kiukweli MOST WERE INTELLECTUALLY SUPERIOR. Watanzania ambao Nyerere aliwakuta wako sekondari za mkoloni walikuwa ndiyo THE FINEST OF ALL TANZANIANS/TOP BRASS YA NCHI. Wajamaa walipoanza kuleta UPUUZI wa kusema kila mtu ni sehemu ya serikali ndiyo matatizo ya muda mrefu yakaanza. Ukweli ni kwamba wengi wanaweza wakaenda shule hata kupata Division I, wakawa hodari wa kuzungumza au kujenga hoja lakini hawawezi kuongoza. Being a Good Leader is a Genetic Gift Not Everyone is Born With.

Ndugu zangu watanganyika ni lazima hili tulifahamu vizuri, UONGOZI SIYO ASALI KILA MTU AKALAMBA. Wengine sisi ni watandaji wazuri ambao tunatakiwa tuajiriwe au tujiajiri kwenye kada za sheria, afya, uchumi na burudani ili tusogeze uchumi mbele. Najua hili litawakera wengi, ila ukweli ni kwamba watanzania wengi ambao ni viongozi waandamizi hawakutakiwa kabisa kushika nyadhifa.

Watoto na Wajuu wengi wa machifu wa kiasili waliweza kuwa watawala wazuri kuliko watu ambao kwao hakuna historia ya uongozi. Mkoloni alilifahamu hili vizuri ndiyo maana akaanza kuwatumia katika kuwatawala Waafrika wenzao. Kiukweli, tunakwama sana pale ambapo tunaamini kila mtu maarufu anaweza akawa mbunge.
Uku kwetu uongozi ni fursa ya kupata kipato
 
All American Presidents are related by blood. It's awkward, sounds conspiratorial. But nevertheless, a fact.
All American Presidents are related by blood to King Charles the Great (Charlemagne the great) this is also a fact.
Thomas Jefferson established the Electoral College to make sure that demagogues don't ascend the heights of power.
American and Britain, emulated the Roman governance, that is Mixed Government which proves to be highly effective.
Read again ‘The Republic’ and assess the function of civil services today in western democracy and see how it resembles Socrates meritocracy government.

Who is the president of those nations has little impact to their long term national objectives, even if political leaders derive from a single family; the civil services are the people who run those nations technically.
 
mfumo wetu hautaki visionary,good leader,gifted watakutoa roho chap chap
Mfumo unataka chawa
Wakuu mnadhani watu waliopungukiwa akili wataamka siku moja tu na kuamua kuwaachia wenye akili madaraka ?

Kama Tanzania lingekuwa ni taifa lenye watu wenye akili timamu, basi ule uchaguzi wa 2005 tungeshuhudia mtifuano baina ya Dr Salim Ahmed Salim dhidi ya Prof Mark Mwandosya. Lakini haikutokea hivyo, Salim na Mark kujifanya wao ni waungwana wakahisi basi kila mtu ndani ya CHAMA ni mtu safi na atawapa uongozi kwa kura. Jambo ambalo wakina Vladmir Lenin, Trotsky, Stalin, Mao, Trotsky na Castro walilifahamu ni kwamba wajinga (USEFUL IDIOTS) wakishatumiwa na CHAMA au DOLA hutakiwi kabisa kuwalipa fadhila au kuwaacha wasogee karibu na madaraka.

Ukifanya hivyo wataingiwa na tamaa halafu watakugeuka au kukuundia mtandao wa uzandiki, hujuma na majungu. Mjinga inabidi abamizwe sawa-sawa bila huruma, maana akiachwa ndiyo madhara yanayoikuta hii nchi kipindi hiki. Wajinga wameshika hatama, hata haya hawana na wako radhi kukutoa roho. Sasa kama wenye akili wanaamini wakipata katiba mpya basi wajinga watawapa uchaguzi huru na haki, kalaghabao. Mtaendelea kutawaliwa mpaka kiama.​
 
Nikiangalia mazingira ya sasa tuliyonayo, naona sheria zetu tulizojiwekea wenyewe, na "utundu wa kuijua michezo ya kisiasa" ndivyo ambavyo kwa wakati huu vinatutafuna kama taifa.

Ukitazama hali ilivyo sasa kisiasa, ambapo mambo mengi yanaonekana kujiendea hovyo mpaka sasa ni kama tunazoea hiyo hali ya ukengefu, utaona wazi kabisa, huyu kiongozi tuliyenaye hakustahili hata kwa sekunde moja aje kuongoza serikali, kifo cha mwendazake pamoja na sheria mbovu tulizojiwekea ndivyo vimemleta kwetu, sasa tunakinywea kikombe..

Awamu ya nne nayo, nikitazama mambo yalivyokwenda kwa wakati ule, kuna muda ulifika wajuvi wa mambo wakasema nchi inaendeshwa kwa auto pilot, kwamba yule aliyeonekana kuwa "mjuvi wa michezo ya kisiasa" alikuja kujikuta anakutana na mtihani mzito mpaka akasalimu amri, akaamua kuacha mambo yajiendee tu, nchi ikageuka shamba la bibi..

Hapa ndipo napoiona mantiki ya hiki ulichoandika, kuongoza, tena hasa serikali sio jambo la kitoto, ambapo bahati mbaya zaidi utakuta hao viongozi tulionao, wengi hata ufaulu wao darasani haukuwa wa viwango vya kuridhisha, sasa failure anayekuja kuonekana fundi atuongoze kwasababu tu ya "utundu" wake wa mtaani, mwisho wa siku lazima ageuke janga kwetu.
 
Read again ‘The Republic’ and assess the function of civil services today in western democracy and see how it resembles Socrates meritocracy government.

Who is the president of those nations has little impact to their long term national objectives, even if political leaders derive from a single family; the civil services are the people who run those nations technically.
Agreed! But, with the exception of America, a chunk of the Civil Service is Europe was composed of the Aristocracy. Not necessarily born in privilege.​
 
Nikiangalia mazingira ya sasa tuliyonayo, naona sheria zetu tulizojiwekea wenyewe, na "utundu wa kuijua michezo ya kisiasa" ndivyo ambavyo kwa wakati huu vinatutafuna kama taifa.

Ukitazama hali ilivyo sasa kisiasa, ambapo mambo mengi yanaonekana kujiendea hovyo mpaka sasa ni kama tunazoea hiyo hali ya ukengefu, utaona wazi kabisa, huyu kiongozi tuliyenaye hakustahili hata kwa sekunde moja aje kuongoza serikali, kifo cha mwendazake pamoja na sheria mbovu tulizojiwekea ndivyo vimemleta kwetu, sasa tunakinywea kikombe..

Awamu ya nne nayo, nikitazama mambo yalivyokwenda kwa wakati ule, kuna muda ulifika wajuvi wa mambo wakasema nchi inaendeshwa kwa auto pilot, kwamba yule aliyeonekana kuwa "mjuvi wa michezo ya kisiasa" alikuja kujikuta anakutana na mtihani mzito mpaka akasalimu amri, akaamua kuacha mambo yajiendee tu, nchi ikageuka shamba la bibi..

Hapa ndipo napoiona mantiki ya hiki ulichoandika, kuongoza, tena hasa serikali sio jambo la kitoto, ambapo bahati mbaya zaidi utakuta hao viongozi tulionao, wengi hata ufaulu wao darasani haukuwa wa viwango vya kuridhisha, sasa failure anayekuja kuonekana fundi atuongoze kwasababu tu ya "utundu" wake wa mtaani, mwisho wa siku lazima ageuke janga kwetu.
Kule Uchina, mfalme Ha Wu wa Han Dynasty ndiyo anakumbukwa kuwa mtu wa kwanza kabisa kuanzisha mitihani ya kitaifa kwa viongozi wa umma. Ulikuwa huwezi kuwa kuingozi mpaka umepewa mtihani wa kufanya kwa vitendo na ukafaulu. Iwe ni jeshini au kwenye utawala. Hadi kufika leo, mtu hawezi kuwa kiongozi wa chama cha kikomunisti bila kuwa na rekodi kubwa ya kiutendaji. Mbali na kuwa na orodha kubwa ya kiutendaji, kule Rumi (Senetors) maseneta na Maraisi (First Consuls), walikuwa ni wanajeshi wenye rekodi ya kushinda vita (Imperators). Watu kama Ceaser, Pompey, Aurelian n.k Hawaokoti tu watu hovyohovyo na kuwapa nchi.​
 
Agreed! But, with the exception of America, a chunk of the Civil Service is Europe was composed of the Aristocracy. Not necessarily born in privilege.​
Historically Europe has been ruled by monarchies so classes are unavoidable.

With that thought it’s only logical the best schools which prepares the ruling elites will be populated by upper and middle-upper classes. To make matters worse those institutions are very expensive unnecessarily to study a measure to ensure they rid off the riff-ruffs from entering.

Nonetheless even with the privilege background you don’t ascend to senior civil service post if you don’t meet the criteria. They don’t mess with the quality of intelligence required to fill ‘senior servants’ posts regardless of your background.
 
Mtoa mada ana point muhimu. Mfano Rais wa sasa ni dhahiri hana uwezo wa kuongoza hata kijiji.

Yupo vizuri kusafiri, kuchukua mikopo, kuomba misaada. Hana vision, seriousness, mipango, strategies za kusema nchi itakuwa wapi 50 years from now. Yupo yupo tu.

Hatujui hata baba, babu yake ni nani? Nyerere ukoo wake wote ulijulikana
Naunga mkono hoja. 🤝
 
Nikiangalia mazingira ya sasa tuliyonayo, naona sheria zetu tulizojiwekea wenyewe, na "utundu wa kuijua michezo ya kisiasa" ndivyo ambavyo kwa wakati huu vinatutafuna kama taifa.

Ukitazama hali ilivyo sasa kisiasa, ambapo mambo mengi yanaonekana kujiendea hovyo mpaka sasa ni kama tunazoea hiyo hali ya ukengefu, utaona wazi kabisa, huyu kiongozi tuliyenaye hakustahili hata kwa sekunde moja aje kuongoza serikali, kifo cha mwendazake pamoja na sheria mbovu tulizojiwekea ndivyo vimemleta kwetu, sasa tunakinywea kikombe..

Awamu ya nne nayo, nikitazama mambo yalivyokwenda kwa wakati ule, kuna muda ulifika wajuvi wa mambo wakasema nchi inaendeshwa kwa auto pilot, kwamba yule aliyeonekana kuwa "mjuvi wa michezo ya kisiasa" alikuja kujikuta anakutana na mtihani mzito mpaka akasalimu amri, akaamua kuacha mambo yajiendee tu, nchi ikageuka shamba la bibi..

Hapa ndipo napoiona mantiki ya hiki ulichoandika, kuongoza, tena hasa serikali sio jambo la kitoto, ambapo bahati mbaya zaidi utakuta hao viongozi tulionao, wengi hata ufaulu wao darasani haukuwa wa viwango vya kuridhisha, sasa failure anayekuja kuonekana fundi atuongoze kwasababu tu ya "utundu" wake wa mtaani, mwisho wa siku lazima ageuke janga kwetu.
Ni shida kuongozwa na vilaza. JPM alikuwa na vision, malengo, uchungu kuwasaidia maskini. Sababu na yeye ametoka kwenye umaskini. Njia alizotumia tunaweza ku- argue, ila moyo wake ulikuwa kuwasaidia Watanzania maskini.

Umamsaidiaje maskini? Umeme, maji, gesi uhuru wa kufanya biashara, miundombinu, haki, kuthibiti mfumuko wa bei.
 
Ninalolisema liko hata kibiblia, msisahau kabisa. Tokea kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo utakutana nayo haya.

Musa alipoambiwa aunde kundi la wapelelezi wa Israel, kigezo kikubwa cha YAHWEH kilikuwa ni kuwatafuta wale ambao ni BEST OF THE BEST IN THE TWELVE TRIBES. Hapo namaanisha kihulka na kimwili. Hawakuchaguliwa tu. Hata Bwana Yesu alipochagua mitume 12, kuna mambo aliyazingatia na akaanza kuwaandaa kwa miaka 3 mfululizo. Hata Paulo, alikuwa ni AN EXTREME DISTINGUISHED SCHOLAR IN JUDEA.

Paulo alikuwa ni mwanafunzi wa Gamalieli (The Most Respected and Distinguished Teacher of Law) in all of Judea. Lakini pia Paulo kwao walikuwa ni matajiri wa kutupwa (Very Wealthy), ndiyo maana Baba yake aliweza kumnunulia uraia wa Rumi, kitu ambacho Myahudi wa kawaida asingeweza kuwa nacho. Alizijua tamaduni za dunia na kuwafahamu watu, Paulo alifanya hadi mjadala na Kaisari Nero. Ndiyo nakubali mtu anaweza akawa hajasoma lakini akawa kiongozi mzuri, ndiyo tunarudi kwamba kuna mambo mtu huzaliwa nayo, hajifunzi popote. Kinachohitajika tu ni kuandaliwa vizuri.

Upande wa Pili, there's a theological explanation to leadership. Leaders are annoited by the Holy Spirit. If a person become anointed, he becomes spiritually anchored to God. Ndiyo maana kitabu cha Samweli kinasema, baada ya Sauli kupakwa mafuta, moyo wake ukabadilika na akawa mtu mwingine. Vivyo hivyo kwa Daudi, vivyo hivyo kwa Bwana Yesu, vivyo hivyo kwa Mitume.

Ila hizi blah blah za kuokoteza wahuni wanaolala kwa waganga, kuchanjwa chale hadi kwenye makalio na kufanya ulozi ndiyo mnawapa madaraka, mtasuburi sana.....​
I agree [emoji817]. Hapa kwa lugha nyingine mada hoja ya mada Ina set genealogy, elimu, utashi wa kiuongozi. Kuna sehemu umemtaja Mark Mwandosya. Mwanataaluma, msomi mashuhuri mwenye fikra ya mapinduzi. Lakini tulishamuona Sospter Muhongo, Tibaijuka, Juma Kapuya na wengine hata alivyokuja Magufuli wengi waliona wasomi saana si kitu ila wanahitajika wanasiasa saana. Ndiyo maana wengi wana compare awamu ya nne na ya Tano na sita na wengi wanaona kuwa wasomi ni watendaji na si wanasiasa.

Lakini ukitazama vizuri pia shida ipo ktk mifumo yetu kama ulivyogusia kuwa mifumo ya wenzetu si rahisi sana kuchezewa na wanasiasa. Sisi hapa wanasiasa wanaweza kubadilisha sheria ndani ya miezi michache sana. Trjea sheria ya Magufuli ya kulinda national resources.
 
Watu ambao wamelala kiakili huwa hawafahamu hata nini wanataka. Ukitaka kuwasaidia watanzania ni lazima kwamba ukubali kwamba wengi wana akili BELOW AVERAGE halafu ni lazima ujifunze kutowaonea huruma pale wanapolalamika. Baada ya Samia kuja hadi Tundu Lissu ameanza kumkumbuka Magufuli. Tanzania inabidi tupate mtu aina ya Lee Kuan Yew au hata Paul Kagame hivi, ukileta ujuaji tu, unakwenda na maji.​
 
Hilo ndio tatizo la democracy ‘popularity wins, over merit’ according to Socrates. Ukiacha watu wafanye maamuzi wenyewe watachugua mtu wanaempenda badala ya mtu anaewafaa, hivyo busara ni kutengeneza viongozi wanaofaa.

Ndio maana akapendekeza a meritocracy system ya uongozi ambapo watu wenye uwezo waendeshe nchi permanently.

Na huo ndio mfumo wa west, msingi wa stability ya nchi zao ni ‘civil services’ sio wanasiasa na huko awaokoti tuu. Ukisikia katibu mkuu wa wizara ni kwamba katengenezwa kweli kweli hiyo wizara au sector anaijua kinaga ubaga through succession planning na yeye mwenyewe ni technocrat wa sector husika na ufaulu wake auna mashaka kuanzia elimu ya awali.

Civil servants ndio watu wanaoongoza hizo nchi technically na kuhakikisha wanasiasa wanafanya maamuzi kupitia kiini macho; maamuzi ya wanasiasa hayavuki mipaka ya national interests wanazopanga wao civil services.

Kwa hivyo civil services, inatumika kama njia ya ku-circumvent dangerous people choices ya wanasiasa. Uwezi kwenda against national interest nchi za wenzetu ukakaa kwenye uongozi kwa muda mrefu utafanyiwa fitna tu ya kukutoa na maamuzi mengi makubwa ya nchi ushauriwi na chama bali appropriate qualified ‘civil servants’.

Tanzania tuna mfumo huo, ila wataalamu wanaishia ngazi ya wakurugenzi wa wizara tu (wengi wao ukiwasikiliza ni technocrats kweli kweli kushinda makatibu wakuu wa wizara).
Umeandika kitu kikubwa sana
 
Historically Europe has been ruled by monarchies so classes are unavoidable.

With that thought it’s only logical the best schools which prepares the ruling elites will be populated by upper and middle-upper classes. To make matters worse those institutions are very expensive unnecessarily to study a measure to ensure they rid off the riff-ruffs from entering.

Nonetheless even with the privilege background you don’t ascend to senior civil service post if you don’t meet the criteria. They don’t mess with the quality of intelligence required to fill ‘senior servants’ posts regardless of your background.
In modern constitutional understanding, Aristocracy does not necessarily mean "Birth Right., but a rule by few qualified men within a state. The late Will Durant was prominent advocate of this view. Under these circumstances, meritocracy like Checks and Balances or The Separation of Powers, is not an end to itself but a means to an end. The ultimate idea of aspiration which every scholar ought to meet, is that of the Structure of a fully functioning government. That's why Meritocracy can be applied anywhere, even by authoritarian and totalitarian regimes, like the Soviets or Nazis.

Renaissance and Enlightenment philosophers offered a compromise to this age-old predicament of monarchies and divine rights, A Mixed Government. An amalgamation of Monarchy, Democracy and Aristocracy. Baron De Montesquieu in his treatise, The Spirit of Laws, he shed more light on Plato's thoughts on governance. The sustainable way to apply meritocracy is not putting all state organs within a single monolith. Have a rule of the few, the aristocrats through the Senate or Professional Lordship, but at the same time build a democracy through Parliamentary system. In England there's A Monarchy, There's Aristocracy (Barons, Lords, Earls of the house of Lords) and they have a Democracy (The House of Commons).

To me a mixed government ruled by merits, sounds more appealing.

Ni shida kuongozwa na vilaza. JPM alikuwa na vision, malengo, uchungu kuwasaidia maskini. Sababu na yeye ametoka kwenye umaskini. Njia alizotumia tunaweza ku- argue, ila moyo wake ulikuwa kuwasaidia Watanzania maskini.

Umamsaidiaje maskini? Umeme, maji, gesi uhuru wa kufanya biashara, miundombinu, haki, kuthibiti mfumuko wa bei.
Raisi Magufuli alitengeneza mfumo ambao usingedumu kwa muda mrefu. Ukweli ni kwamba hakuna dikteta ambaye anaweza kuendesha nchi nzima peke yake. Kuna baadhi ya mambo Raisi Magufuli hakuwa na ufahamu nao kusema tungemuita El Maestro kama Mzee Nyerere. He wasn't that sophisticated. Kibaya zaidi alizungukwa na watu wanafiki wasiokuwa na uwezo, ambao wengi wao aliwapa vyeo kwasababu aliamini wanamuunga mkono.

Japo linapokuja suala zima la utendaji, nadhani tangu awamu ya kwanza hakuna Raisi anayeweza kumfikia hata nusu. Lakini, tatizo ndiyo hilo, kuna mambo alikuwa hana ufahamu nayo na hakujiumiza hata kutaka kujifunza mambo mapya, yeye aliamini anachokifahamu ndicho sahihi zaidi. Mambo ambayo Raisi Magufuli alikosea ni pamoja na Diplomasia, Uwekezaji, Katiba mpya na Usimamizi wa Mashirika ya Umma. Angerekebisha haya maeneo, huenda tungekuwa tunaongea habari nyingine leo.

Mataifa yote ambayo yamefanikiwa kidikteta, viongozi wake huwa ni watu wenye akili za kiwango cha juu mno. Nchi kama Singapore iliongozwa na moja ya binadamu wa kipekee kabisa. Hata Uchina ilipata maendeleo baada ya Deng Xiaping kushikilia usukani. Urusi nako ambako wengi hatukupendi kunaongozwa na mtu mwenye akili mno. Watawala wote hawa, kuanzia Lee Kuan Yew, Deng Xiaoping na Vladmir Putin ni wasomi ambao huwa wanajifunza kila siku. Nafahamuje kwamba wanajifunza ?

Huwezi kuongoza taifa kubwa kwa miaka zaidi ya 10 bila kuchokwa na wananchi wako wengi (The Majority) kama wewe siyo mtu wa kukubali kubadilika, kujisahihisha na kujifunza mambo mapya kila siku.​
 
In modern constitutional understanding, Aristocracy does not necessarily mean "Birth Right., but a rule by few qualified men within a state. The late Will Durant was prominent advocate of this view. Under these circumstances, meritocracy like Checks and Balances or The Separation of Powers, is not an end to itself but a means to an end. The ultimate idea of aspiration which every scholar ought to meet, is that of the Structure of a fully functioning government. That's why Meritocracy can be applied anywhere, even by authoritarian and totalitarian regimes, like the Soviets or Nazis.

Renaissance and Enlightenment philosophers offered a compromise to this age-old predicament of monarchies and divine rights, A Mixed Government. An amalgamation of Monarchy, Democracy and Aristocracy. Baron De Montesquieu in his treatise, The Spirit of Laws, he shed more light on Plato's thoughts on governance. The sustainable way to apply meritocracy is not putting all state organs within a single monolith. Have a rule of the few, the aristocrats through the Senate or Professional Lordship, but at the same time build a democracy through Parliamentary system. In England there's A Monarchy, There's Aristocracy (Barons, Lords, Earls of the house of Lords) and they have a Democracy (The House of Commons).

To me a mixed government ruled by merits, sounds more appealing.

Basically you are agreeing with Socrates philosophy on meritocracy, despite differences in interchangeable wording on the definition of ruling elite. You call them aristocracy, I use the term meritocracy, Socrates called them ‘Philosophers Kings’. The meaning is the same a group of clever people running the country.

Remember at the time of Plato’s writing, Greece was the only democracy, the rest of Europe were monarchies.

So what western countries have done during their transition from absolute monarchies to democracy (fully or partially); in the process they adopted some of Socrates philosophy and applied them into their government positions.

Despite countries having three pillars of powers ie Judiciary, Parliament and Government. From those three pillars of powers only the government has the task of making decisions which impact the society.

It is for those reasons meritocracy is important in government administration, that’s where the decision makers are; and this is where the concept of ‘philosopher’s kings’ (the term which Socrates used to imply technocrat) is applied.

Brightness is non-negotiable for senior posts in civil services; to be considered as a candidates individuals performance track record comes into play, understanding the nitty gritty of the ministry, understanding how to manage the department/ministry, ascendency to the top is through the appraisal from junior posts.

It doesn’t matter if you the son of the King. When it comes to civil services posts ascendency to the top is a meritocracy process.

You can have any form of system single party state or a multi party system; what they have taken from the Republic (the book)civil services senior posts are for serious experienced, well educated and very clever.

View: https://m.youtube.com/watch?v=oLU-Evdlt-A&pp=ygUaeWVzIG1pbmlzdGVyIGZ1bGwgZXBpc29kZXM%3D

Pretty much this is how things work in this political parody. See how civil servants try to impose their will on the minister wittingly.
 
Back
Top Bottom