Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Embu niambie nipo dar test yake ipoje?

Ni sawa na watu wengine wanaseema Pepsi ya chupa ya zaman ni tamu zaid
 
Miaka ya 90 na 2000 mwanzoni coca cola, ilikuwa tamu saana [emoji1787][emoji1787]
 
Miaka ya 90 na 2000 mwanzoni coca cola, ilikuwa tamu saana [emoji1787][emoji1787]
Nakumbuka mkoani kwetu duka lilikuwa moja tu na soda ilikuwa ukununuliwa moja mnagawana watoto wote sio sikuiz G anamaliza chupa moja peke yake
 
Reactions: EEX
Chukua coca cola baridi Sana,
changanya na k vant kidogo,
changanya na double kick kwa mbali, changanya na maji ya dew drop kidogo. Weka ndimu au limao kwa mbali. Kunywa hiyo coca cola nitamu Sana yaani. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Coke kila ukanda kuna wazalishaji wao..
Nilivyo na uhakika nayo ni Kaskazini(bonite) Dar(coca cola kwaza) na Mwanza(Nyanza) watengenezaji ni tofauti kabisaa..
Unamaanisha wanatumia formula na ingredients tofauti?

Maana sikumbuki lini mara ya mwisho nilikunywa Coca Cola
 
Unaniua kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…