Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Morocco Egypt na Libya zilishakataa kuwa wao siyo Waafrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika!

Na ni Morocco ndiyo waliopinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa Kombe la Dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa.

#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu.

Screenshot_20221207-162830_Lite.jpg
 
Vitu vingine fanya kama passion tu, havina impact yoyote kwa individual person.

Imagine tuseme Tanzania imefanikiwa kuingia WC na ikafika final na ikachukua kombe, wewe km wewe una nufaika vp na ushindi huo?

Je, inaweza kukuza uchumi wa nchi? Achana na uchumi wako tu.

Ukifuatilia sana soccer utagundua tunapigia debe kazi za watu pasipo kujijua.

Wewe mwana simba, ubingwa mara nne mfulilizo ulikunufaishaje?

Je, ubingwa wa yanga na hata wangekuwa unbeaten 100 games ww ingekuongezea nini?

Lakini utagundua inaposhinda simba/yanga kuna kundi flani la watu wanapata manufaa wewe utabaki mpiga kelele na kuchangia timu ya watu wa watu.

Kurudi kwenye mada hata anaeshabikia morroco hana tofauti na mtu wa mbeya anayeshabikia simba.

Mpira utabaki kuwa burudani and it has nothing to do with uzalendo since ni biashara ya watu fulani.
 
Back
Top Bottom