Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Kama hujatajwa mana ake huusiki. Wahusika wametajwa kwa majina. Simple like that
Na pia hii we mwenyewe umeileta kama quote tu kutoka sehemu(bora ingekua sauti yake) kwaio hatuna uhakika yeye pia kaileta vipi, kama ilivyozungumzwa au kapunguza vingine!?. Watu wanaeneza sana habari potofu kwa maslai yao saivi
 
Ndio maana hata ule uzi wa world cup sijachangia chochote.

Nchi yangu Tanzania haipo.

Halafu mtu bila aibu unakuta kwao nangurukuru anashabikia England au Brazil.

Unabakia kujiuliza tu. Huyu ana akili timamu kweli??

Watanzania na waafrika tuna mental slavery ambayo kuachana nayo itachukua muda

Naangalia mpira kama burudani tu ila huwezi nikuta nashabikia timu ya Taifa jingine.
 
Ni hoja nzuri sana , wanatuamsha waafrica , wafrica wengi wanapaenda kujinasibisha na watu wasio asili ya Africa wakifikiri ndio watatatuzi WA shida zao, ushirikiona halisi kati ya watu weusi kote ulimwengu ndio itakua chanzo chaafanikio yetu.Wenzetu wanafanya mambo kwa umoja na ndo maana wanaitwala dunia, angalia china, wahindi na wazungu.
 
Hili nilishaandika pengine na ninaliandika hapa tena...

Morocco ipo Africa ingawa watu wa North Africa wanajiona kwamba wenyewe ni middle East zaidi na wala hawa-identify na Africa (mimi hawa naona ni wapuuzi)

Morocco pia ni first Arab country kufika last eight...., Na kutokana na Imani zao / Dini zao wamejinyakulia mashabiki wa imani hizo (not necessarily football fans ila watu ambao can identify with them)

Binafsi mimi huko ninashabikia Morocco sababu ni timu ya Africa ingawa wakiwa Africa sijawahi kuwashabikia kutokana na tendency zao North African kujiona Superior (maybe being East African inasabisha hivyo na mara zote hizi timu enzi za Kalusha Bwalya alivyokuwa akikutana nao alikuwa anazipa shida); Pia zile gamemanship ya hizi Timu zilipelekea kwangu kuwaona hawafai

Al in all mimi nimependa discpline ya kocha wao ingawa tukirudi mashindano ya barani Africa nitaacha kuwashabikia....
 
Lazima tukumbuke uwepo wa Timu mpaka tano kwenye World Cup ni kazi nzuri iliyofanywa na Cameroon, wakifuatiwa na Nigeria hadi kujikuta leo tuna Timu tano..., hakuna chizi atakayekataa washibiki zaidi kuwasaidia (support) kwahio hawezi kusema Ushindi sio wa Waafrica..., Ingawa ushindi huo pia ni wa Waarabu (1st Team to reach last 8);....

In short ni chizi pekee anayeangalia mpira kutafuta undugu au sijui kupendwa.., unaangalia kwa starehe ya kinachochezwa na yule anayecheza pale anawakilisha nchi yake na hio nchi ipo kwenye bara alilotokea (hawezi kuchagua) ni kama wakati Congo anapigwa Nane wale ndio walikuwa wawikilishi wa Bara Sadly enough....
 
Morocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu_
View attachment 2438715
Hivi Morocco inanisaidia nini mimi Mtanzania wa kabuku?
 
Haya ni maoni ni tu ''individual''...
Soccer haina borders. Kuna watu ni washabiki wa Brazil, Netherlands, Spain, kwa kuwa tu ya aina ya soccer.

Mtu anashabikia Arsenal, Man U, Liverpool etc yaani lialia kabisa .Hawakujui wala ufaidiki chochote...

Ukiingiza ushabiki na mambo ya races, imani etc ni ujinga na hutai-enjoy football., Utaamia....wengi hawa hata utotoni huu hawakucheza mchangani.
 
Back
Top Bottom