Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 4,260
- 7,033
Umoja WA farica Hauna faida watakaaje werevu.Hata umoja wa africa hawapo hao
Ngozi nyeusi tunang'aniaga vitu visivyo na mantiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umoja WA farica Hauna faida watakaaje werevu.Hata umoja wa africa hawapo hao
Kwa maoni yangu mpira wa ushindani ni haraam. Mnapaswa kuacha kucheza. Huwezi tenganisha mpira wa kileo na kamari na maovu mengineSifàhamu ,ila ukicheza kama mazoezi kwa kujiweka fiti katika mazingira mazuri hakuna uharamu .Mpira wa kileo Man U ,Liver ,Simba na Yanga umezungukwa na mambo mengi haramu ,ya upuuzi na hovyo ulivyo huu uzi..
Ndo maana sikutaka morocco wapiteMorocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu_
View attachment 2438715
Hata kama ndio watunawe sisi wagagagikoko?Vitu vingine fanya kama passion tu, havina impact yoyote kwa individual person. Imagine tuseme Tanzania imefanikiwa kuingia WC na ikafika final na ikachukua kombe, wewe km wewe una nufaika vp na ushindi huo? Je inaweza kukuza uchumi wa nchi? Achana na uchumi wako tu.
Ukifuatilia sana soccer utagundua tunapigia debe kazi za watu pasipo kujijua.
Wewe mwana simba, ubingwa mara nne mfulilizo ulikunufaishaje?
Je ubingwa wa yanga na hata wangekuwa unbeaten 100 games ww ingekuongezea nini?
Lakini utagundua inaposhinda simba/yanga kuna kundi flani la watu wanapata manufaa wewe utabaki mpiga kelele na kuchangia timu ya watu wa watu.
Kurudi kwenye mada hata anaeshabikia morroco hana tofauti na mtu wa mbeya anayeshabikia simba. Mpira utabaki kuwa burudani and it has nothing to do with uzalendo since ni biashara ya watu fulani.
Ni sawa kabisa,Final ya UEFA Real Madrid Vs Liverpool kuna mdada katrend alikuwa anacheza jukwaani uchi kuburudisha watazamaji ,ushoga ,kamari ,Pombe nk ..Kwa maoni yangu mpira wa ushindani ni haraam. Mnapaswa kuacha kucheza. Huwezi tenganisha mpira wa kileo na kamari na maovu mengine
Kwani wanashindania niniMorocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu_
View attachment 2438715
Ndio, wewe je?Una uhakika na unacho kinena ?
Sisi Wakonongo tunasema "Wameumaliza mwendo"Ndo maana sikutaka morocco wapite
Kinena cha kuazima au cha kukimiliki mazima?Una uhakika na unacho kinena ?
Kuna ushindi na ubingwa. Morocco walishinda mechi ya jana. Wakishinda mechi zao zote watatawazwa kuwa mabingwa wa kombe la duniaKwani wanashindania nini
Yani wameshinda nini kwa sababu bado mashindano hayajaisha
Na watu wanashindania kombe
Lakini pia sisi tunafahamu kuwa wale siyo wa Afrika timu zetu tunajua zimeshatolewa
Sina , soma taarifa hapo chini..Ndio, wewe je?
Kwa hiyo wewe ni mja wa laana? Mimi na uzao wangu ni wabarikiwa. Weee endelea kulaanika wakati wenzako tunajiambatanisha na kujifungamanisha na barakaHii thread ni kwasabbu Marakech wameshinda au, waache washerehekee wanachokiamini Bro.
Unafrikiri aufrica ni sifa, hii ni laana mkuu acha waikatae Kwa nguvu .
Hua naenjoi sana nkitizama mipara inayohusish timu za taifa za kiarabu. Kwa maana hupambana Kwa nguvu moja.
Timu zenye rangi nyeusi wamekua wavivu kupindukia.
Mfano hata nyie mmeona nikama hawajui mpira.
Kwa nini unaposha? Maelezo uliyotoa ni tofauti na alichoandika.Morocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu_
View attachment 2438715
Umelaaniwa mkuu, haitabadikisha ukweliKwa hiyo wewe ni mja wa laana? Mimi na uzao wangu ni wabarikiwa. Weee endelea kulaanika wakati wenzako tunajiambatanisha na kujifungamanisha na baraka
Kwa nini unaposha? Maelezo uliyotoa ni tofauti na alichoandika.
Jamaa ametoa conclusion anayodhani yeye ni siyo alichoandika. Hakuna sehemu yoyote aliyosema siyo kwa Afrika.Wapi ametaja kwa ajili ya Africa
Morocco coach Walid Regragui said African nations have shown they are not “sub par” at the World Cup - and tipped one to go on to lift the trophy.Wapi ametaja kwa ajili ya Africa
Shangwe zote zile nimewashangilia jana kumbe wamejitoa kwenye uafrica eboo😀Sisi Wakonongo tunasema "Wameumaliza mwendo"