Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Huwa kuna "wayahudi" wa Mburahati halafu leo wamepatikana "waarabu" wa kwa Mpalange.Hatari sana.
 
Hawana jinsi....we unahisi wakiambiwa na FIFA wachague kati ya Afcon au ligi ya waarabu watachagua ipi?

Soka weka pembeni, kati ya AU na Arab league wao wanafata ipi?
Mbona wako kwenye muungano wa African (AU)?
 
Morocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu_
View attachment 2438715
Kwanza mfalme wao alimdanganya Magu atamjengea Uwanja wa Mpira hadi Magu akavuta bila hata site ya Uwanja kujulikana

Sema li Magu nalo lilikuwa liongo liongo ukute lilitudanganya
 
Katika waarabu wote wa Africa hao wa moroco ndio wanajionaga special sana.

Wamisri, Tunisia, Algeria, Libya, western Sahara Wala hawana hizo stereotypes.
 
Wakenya na nchi yao ni Zambia, sio?
Kwenye thread yako maelezo yote yanaonyesha una inferiority complex ya aina fulani. Ulikuwa unasubiri tu kitu kidogo kabisa kiilipue. Jamaa kasema vizuri kabisa ushindi ni kwa nchi yake, waarabu na waislam. Hakusema siyo kwa ajili ya Afrika. Mtu yoyote anapofikwa na jambo lile zuri au baya hukumbuka wale walio karibu kwa haraka zaidi.
 
Waarabu ni ya hovyo Zaidi duniani ndio maana hawa morocco walijitoa kwenye muungano wa africa na kujipendekeza kujiunga ulaya

Wazungu wakawaambia nyie washenzi bakini na ushenzi wenu hukohuko uswekeni
 
Hao ni wabaguzi kuliko wazungu, ukichanganya dini yao na akili zao za kijima ni watu wa ovyo sana, msiwasahau wahindi nao ni wabaguzi watupu, Africans on your own,muhimu tuwatombee dada zao na tufanye nao biashara tuu tutengeneze pesa labda tutaheshimiana
 
Mpira na mziki unakutanisha watu wote
Wengi wanashangilia mpira kwa Nchi na pia Mabara

Waarabu wa Afrika wanajulikana na wao wanajua ni Waafrika tu


Msome huyu Mmasri
Screenshot_20221207_161231_Chrome.jpg
 
Kwanini wanashiriki champion ligue na afcon Kama wao sio africa

Huu ni upumbavu na upuuzi tu!!
Kwani huo ni msimamo wa Serikali au Chama Cha Soka cha Morocco au ni msimamo wa mtu binafsi?!

Mbona wakati yeye ka- dedicate ushindi kwa Waarabu na Waislam, El Yamiq yeye ame-dedicate kwa Waraabu na African football, huku Azzedine aki-dedicate kwa Waarabu, Wafrika, na Waislam!

Hata Kocha wao Mkuu aliwahi kunukuliwa akisema wanaiwakilisha Afrika...
 
Ame tweet tena Boufal

v7gaxjhmfj4a1.jpg

"I apologize for not mentioning the whole african continent yesterday at the interview. Thank you for being there for us, I dedicate this win for you too. We are so proud to represent all our brothers from this continent"​


Nimeangalia world cup mechi zote za Makundi na nyingi 16 round, Wa Africa wote walikuwa pamoja, Mashabiki wengi sawa wa Morocco wameshabikia Senegal na ulikuwa ukiwaona kwenye tv na vyombo mbalimbali, wengine hadi kigoma. Walikuwa wanakicheza.
 
Back
Top Bottom