Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Ni kweli maana mashabiki wengi wa Afrika walisimama na timu za magharibi na Amerika ya kusini.
 
Waafrika gani unazungumzia!?..kwani waarab si waafrika!?..uafrika si rangi nyeusi ya ngozi
Hahahaha hawataki kusikia wanaitwa waafrica, inaonekana huwajui wewe, wanafikira wako more superior kuliko ngozi nyeusi, usilazimishe undugu hawataki
 
W
Morocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu_
View attachment 2438715
We jamaa kichwa ni box kabisa wapi wameandika hii sio kwa waAfrica? Acha ushamba
 
Hivi kama kuna Saido, Dodo na Saidama....!

Hafu mimi nakuja na Pilau na kusema hii Pilau italiwa na Saido na Dodo....! Unahitaji uthibitisho gani kujua kwamba haumo!

Otherwise labda wewe Ostaadh.
Inategemea na jamaa alikua anaongea vipi na namna alivyo ulizwa. Shida ni kua watu mpo tayari kukumbatia habari ya uongo kisa tu inaendana na mnachowaza
 
Akitaja wanaohusika na ushindi amenukuliwa hivi:-
" This victory belongs to all the Moroccan people, to all the Arab peoples, to all the Muslim peoples of the world"
Lete sauti yake
 
Kwenye thread yako maelezo yote yanaonyesha una inferiority complex ya aina fulani. Ulikuwa unasubiri tu kitu kidogo kabisa kiilipue. Jamaa kasema vizuri kabisa ushindi ni kwa nchi yake, waarabu na waislam. Hakusema siyo kwa ajili ya Afrika. Mtu yoyote anapofikwa na jambo lile zuri au baya hukumbuka wale walio karibu kwa haraka zaidi.
Kataja wahusika watatu, Waafrika hatuhusiki
 
Shangwe zote zile nimewashangilia jana kumbe wamejitoa kwenye uafrica eboo😀
Furaha halisi unajitengenezea mwenyewe. Furaha za kutengenezewa zinaweza kukugeuka muda wowote. Ona furaha yako ya jana ilisababishwa na Waburushi, leo wamekuruka kwamba wewe sio sehemu ya ushindi
 
Back
Top Bottom