Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Ni kama watoto wanao share mama mmoja ila baba tofauti. Siwezi kumkataa ndugu yangu nilizaliwa naye mama mmoja kisa yeye ni msukuma na Mimi ni mrangi. .....yeye akinikataa sio shida zangu ,😂😂😂
 
Soufian Boufal bonge la kitasa ni mabeki 99 wa kibongo+Inonga+Bangala.
 
Hahahaha hawataki kusikia wanaitwa waafrica, inaonekana huwajui wewe, wanafikira wako more superior kuliko ngozi nyeusi, usilazimishe undugu hawataki
Uafrika siyo ngozi nyeusi elewa,mwafrika ni mtu wa Bara la afrika, Gaddafi kaipigania Sana afrika na alijitoa Arab league,Algeria ilikua mbele mapambano dhidi ya apartheid afrika kusini,wapi waarabu wa afrika walisema wao si waafrika!?
 
Ndio maana hata ule uzi wa world cup sijachangia chochote.

Nchi yangu Tanzania haipo.

Halafu mtu bila aibu unakuta kwao nangurukuru anashabikia England au Brazil.

Unabakia kujiuliza tu. Huyu ana akili timamu kweli??

Watanzania na waafrika tuna mental slavery ambayo kuachana nayo itachukua muda

Naangalia mpira kama burudani tu ila huwezi nikuta nashabikia timu ya Taifa jingine.
Hatufanani hata tungefuzu tz ikacheza fainali na Brazil naiombea brazil ishinde
 
Waarabu na shetani hawana tofauti

Tulijisahau tukawashangilia kumbe wanatuona sisi wajinga tu
Samuel E'to alishawahi kuzomewa na kupigwa na ndizi kama sikosei kule Hispain wale walimfanyia vile walikuwa Waarabu???!
 
Waarabu sio watu wale, Africans wanaokimbilia Europe kupitia border za waarabu wanakuambia bora ukamatwe na mzungu kuliko mwarabu, kuna story nyingi sana youtube za mateso waafrica wanayopewa na waarabu
Hivi nyie hizi habari huwa mnaziokota wapi?
Hivi nyie mnawajua Wazungu nyie au?
Rais Aliepita wa USA aliwaitaje Waafrica??
 
Wewe sasa ndo umeandika ..
Kuna jamaa hapo juu kasema eti bora Mzungu nikasema huyu ameshawahi kweli ishi na Mzungu au kwakuwa anawaona wamekuja huku kwetu wanatembea akajua ndo walivo.!!
Nenda kwao ndio utamjua mzungu na rangi yake. Yaani dini ililetwa Kama mind slavery fulani. Jamaa tulikuwa tuanataka kuingia club Ni free Ila wanakataa wanatuambia tutoe hela Ila unakuta Ni bure. Yaani labda dada zao wanatukubali kwa kugegeda Wala hakuna lolote la zaidi.

Yaani black unadharaulika nje kinyama. Hivi hamuoni hata USA tu wanavyopata treatment yao. Hapa tu sauzi Kuna black hakanyagi. Mie huwa nawacheki na jamaa wenye shobo na nguruwe nabakia kusema nakaa kimya.

Ni Kama Kuna kabila hapa Tanzania hawawezi nunua kwenye duka ambalo sio la mtu wa kabila yao. Ila wakiwa huko kwenu utaona watajifanya kuwa marafiki na nyie Ila baadaye Ni matusi kwenda mbele.
 
Uaenda mbali
Samuel Eto aliwahi zomewa wakati yupo Hispain..
Rais wa USA alizitaje nchi za Kiafrica![emoji1787][emoji1787]
Mtu anasema bora Wazungu.
Mtu mweusi utadhaurika popote bale mradi sio kwa waafrica wenzako hilo halina ubishi.
 
Back
Top Bottom