Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Ivi Ile kauli ya Trump Ni ya ukweli ama mie nilijua Ni maneno yaliyokuwa yanazunguka. Bora tungekuwa na umoja wetu wenye nguvu na sarafu yetu. Na mtu mweusi aruhusiwe kuingia nchi yeyote ya afrika Ila sio zile Tunisia moroco Egypt Libya Mana hao jamaa Ni waarabu sio waafrikaUaenda mbali
Samuel Eto aliwahi zomewa wakati yupo Hispain..
Rais wa USA alizitaje nchi za Kiafrica![emoji1787][emoji1787]
Mtu anasema bora Wazungu.
Mtu mweusi utadhaurika popote bale mradi sio kwa waafrica wenzako hilo halina ubishi.