Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuona anasakamwa duniani kote
Hao ni watu wasio na akili timamLakini kiujumla hakuna ngozi ya nguruwe inataka kuwekwa kundi moja na brown lala mkuu. Kuna siku mjamaika akaitwa mwafrika akamaindi kuwa mie am Jamaican and not African. Mpaka mghana mmoja akamaindi kuwa Sasa anakataa Jamaica Kuna Nini na huku inazidiwa na nchi nyingi mno kiuchumi za kiafrika. Halafu west Africa Wana Tambo Kama za baadhi ya ndugu zetu hapa hapa bongo mpaka na wao wanatambaga kuwa level zao Ni waasia sio blacks
Ila hawakujitoa umoja wa Africa kwa sababu walisema wao siyo Waafrica, walijitoa sababu nchi nyingi za Africa zilitaka Western Sahara wawe huru wakati Moroco wao wanasema sehemu hiyo ni eneo lake hivyo haiwezi kuwa huru.MBONA MUDA SANA MOROCCO WALISHASEMA WAO SIO WAAFRIKA?? HIVI HATUWEZI WATOA KWENYE UMOJA WA AFRICA AU???
Au kama kuna uwezekano tuchimbe mpaka wao kama mfereji wa suez kisha unaujaza maji wabakie kule juu kama ka kisiwa tu wachague pa kwenda🤒🤒🤒
Mkuu hiyo ilikua na baada ya AU kuitambua Jamhuri ya Sahrawi na kuipa uanachama kwenye AU.Na Morocco walifikia hatua ya kuomba kujiunga na Ulaya mwaka 1987. Kwamba wanajihisi kuwa wazungu zaidi ya Africa.
Wazungu waliwagomea ndo wakaanza kujileta Africa, hata hivyo, bado wanaegemea uarabu zaidi ya uafrika.
Subpar mindChai
Kuna watu wanajifanya ni waarabu na waumini wa dini ya mnyazimungu🤔Morocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu_
View attachment 2438715
Asante brother , comment bora sana kwangu kuwahi kukutana nayo.Vitu vingine fanya kama passion tu, havina impact yoyote kwa individual person. Imagine tuseme Tanzania imefanikiwa kuingia WC na ikafika final na ikachukua kombe, wewe km wewe una nufaika vp na ushindi huo? Je inaweza kukuza uchumi wa nchi? Achana na uchumi wako tu.
Ukifuatilia sana soccer utagundua tunapigia debe kazi za watu pasipo kujijua.
Wewe mwana simba, ubingwa mara nne mfulilizo ulikunufaishaje?
Je ubingwa wa yanga na hata wangekuwa unbeaten 100 games ww ingekuongezea nini?
Lakini utagundua inaposhinda simba/yanga kuna kundi flani la watu wanapata manufaa wewe utabaki mpiga kelele na kuchangia timu ya watu wa watu.
Kurudi kwenye mada hata anaeshabikia morroco hana tofauti na mtu wa mbeya anayeshabikia simba. Mpira utabaki kuwa burudani and it has nothing to do with uzalendo since ni biashara ya watu fulani.
Ndiyo maana waislam wanadharauliwa na dunia, ni wabibafsi, washamba, elimu duni. Sasa wako bara lipi. Wakati wa kutafuta makundi ya nchi za kuwakilisha mabara wao walikuwa bara gani. Wamejidharaulisha sana.Morocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa.
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu.
View attachment 2438715
Baada ya hao wazungu na waarabu kumkataaBaada ya kuona anasakamwa duniani kote
Samuel E'to alishawahi kuzomewa na kupigwa na ndizi kama sikosei kule Hispain wale walimfanyia vile walikuwa Waarabu???!
Mie hao wote naona wote tu wanatudharau..Bora kutupiwa ndizi kuliko kuwa karibu na nusu shetani/arabs