Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Post kali. Hata Argentina ilishafanya mauji ya kimbali kwa watu weusi wote ndani ya nchi yao na still kuna waafrica hawajali wanaisupport.Vitu vingine fanya kama passion tu, havina impact yoyote kwa individual person. Imagine tuseme Tanzania imefanikiwa kuingia WC na ikafika final na ikachukua kombe, wewe km wewe una nufaika vp na ushindi huo? Je inaweza kukuza uchumi wa nchi? Achana na uchumi wako tu.
Ukifuatilia sana soccer utagundua tunapigia debe kazi za watu pasipo kujijua.
Wewe mwana simba, ubingwa mara nne mfulilizo ulikunufaishaje?
Je ubingwa wa yanga na hata wangekuwa unbeaten 100 games ww ingekuongezea nini?
Lakini utagundua inaposhinda simba/yanga kuna kundi flani la watu wanapata manufaa wewe utabaki mpiga kelele na kuchangia timu ya watu wa watu.
Kurudi kwenye mada hata anaeshabikia morroco hana tofauti na mtu wa mbeya anayeshabikia simba. Mpira utabaki kuwa burudani and it has nothing to do with uzalendo since ni biashara ya watu fulani.
Lakini kiujumla hakuna ngozi ya nguruwe inataka kuwekwa kundi moja na brown lala mkuu. Kuna siku mjamaika akaitwa mwafrika akamaindi kuwa mie am Jamaican and not African. Mpaka mghana mmoja akamaindi kuwa Sasa anakataa Jamaica Kuna Nini na huku inazidiwa na nchi nyingi mno kiuchumi za kiafrika. Halafu west Africa Wana Tambo Kama za baadhi ya ndugu zetu hapa hapa bongo mpaka na wao wanatambaga kuwa level zao Ni waasia sio blacksAlikuja kuweka sawa kuwapoza Waafrika waliozani kutotajwa tu pale basi hawathaminiki. Watu walishindwa kuelewa kua wakati mwingine ni kusahau tu
You are not mentioned, you are not there.
Ameomba radhi kwa “Kusahau kuitaja Afrika ktk mahojiano..”Morocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu_
View attachment 2438715
Na pia ni members wa African UnionKwanini wanashiriki champion ligue na afcon Kama wao sio africa
Huu ni upumbavu na upuuzi tu!!
Morocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu_
View attachment 2438715
Wapo kwenye ardhi ya AfrikaMBONA MUDA SANA MOROCCO WALISHASEMA WAO SIO WAAFRIKA?? HIVI HATUWEZI WATOA KWENYE UMOJA WA AFRICA AU???
Au kama kuna uwezekano tuchimbe mpaka wao kama mfereji wa suez kisha unaujaza maji wabakie kule juu kama ka kisiwa tu wachague pa kwenda[emoji855][emoji855][emoji855]
Msije mkawaudhi Sudan na Somalia hawa wenzetu wamo kwnye Arab League.Ngoja tushangilie Portugal then