Baba Peter2022
Member
- Dec 7, 2022
- 9
- 5
AFRICA NI MOJA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubaguzi ni ushetani. Mimi siioni tofauti hapoHawa waraabu utofauti wao na shetani ni mdogo sana
Walitakiwa washiriki muslim leagueKwanini wanashiriki champion ligue na afcon Kama wao sio africa
Huu ni upumbavu na upuuzi tu!!
Sana.... Full kutesekaWapi amesema sio kwa ajili ya waafrika? Mleta mada wivu unakutesa sana.
Sorry mkuu, in nature sijawahi kushabikia timu za kiarabu, waarabu wala waislam. Nina shida sana na hizo jamii pamoja na wazungu.Jana mlikuwa mnapiga kelele za nini na kunywa mibia miiingi kama mmepagawa na zimwi behemoth?
Passion sio Impact au haina impact ?, Individually ukimaanisha nini yaani hata hao selected / waliocheza nao hawana faida / impactVitu vingine fanya kama passion tu, havina impact yoyote kwa individual person.
Kweli hujui hili ?, Hivi unadhani bila Pele Brazil ingefahamika kama inavyofahamika, bila Brazil kucheza a Beautiful game watu wangeipenda na nchi kuweza kuuza bidhaa zao, unadhani FIFA kama FIFA inachangia kiasi gani cha pesa kwenye grassroots za nchi ? Hivi unajua kabla Senegal haijaifunga France kuna watu walikuwa hata hawajui Senegal ni nini ? Hivi unajua Vita vya kwanza vya Dunia vilisimama ili watu waangalie mpira ?Imagine tuseme Tanzania imefanikiwa kuingia WC na ikafika final na ikachukua kombe, wewe km wewe una nufaika vp na ushindi huo? Je inaweza kukuza uchumi wa nchi? Achana na uchumi wako tu.
Unapiga debe sababu ya passion (that is life) ukiangalia kwa jicho hilo kila kitu hakina maana..., hata unavyocheza mziki na kutoa jasho unapata faida gani ?, mimi kupoteza muda hapa kukujibu wewe napata faida gani..., nikinywa beer napata faida gani ? (ule utamu kwenye koo) ? kama ndivyo unajuaje mpiga kelele huo sio utamu wake ?Ukifuatilia sana soccer utagundua tunapigia debe kazi za watu pasipo kujijua.
Si ni mwana Simba ? Sasa huoni mwana Simba yanga ingeshinda angepata huzuni ? and what is life kama sio happiness and feeling good ?Wewe mwana simba, ubingwa mara nne mfulilizo ulikunufaishaje?
Unamuongezea bragging rights..., to each his/her own...Je ubingwa wa yanga na hata wangekuwa unbeaten 100 games ww ingekuongezea nini?
Manufaa ni nini ? Pesa ? Ingekuwa ni Pesa watu waliozaliwa kwenye Royal Family wangekuwa ni wenye manufaa peke yao ila utagundua kuna vitu ni priceless na simba / yanga au timu yoyote bila mashabiki ni uchafu tu..., na kwa taarifa yako hakuna owner wa timu ambaye ana-make direct money (labda kukuza brand) its a loss making business for ownersLakini utagundua inaposhinda simba/yanga kuna kundi flani la watu wanapata manufaa wewe utabaki mpiga kelele na kuchangia timu ya watu wa watu.
Kila mtu anashabikia kulingana na utashi wake kuna mtu anashabikia timu ya mtaa sababu ni mtaani kwake, kuna mtu alishabikia Brazil (especially watu wa Africa) kutokana na Pele..., kuna watu wa Msumbiji wanashabikia Ureno sababu the Great Eusebio alitokea huko kuna watu hii ni burudani wanashabikia sababu kutokana na burudani inayotoka hapo....Kurudi kwenye mada hata anaeshabikia morroco hana tofauti na mtu wa mbeya anayeshabikia simba. Mpira utabaki kuwa burudani and it has nothing to do with uzalendo since ni biashara ya watu fulani.
Kwani hao Morocco, waarabu na waislam wako wapi? Si wapo afrika?! Huyo kocha alimaanisha kuwa huo ushindi sio wa wakristo...Kasema ushindi ni wa waMorroco, waarabu na waislamu.
Maanake Africa haihusiki.
Waendelee kufuga majini yao. Waafrika wakristo nao na shida zao.Kwani hao Morocco, waarabu na waislam wako wapi? Si wapo afrika?! Huyo kocha alimaanisha kuwa huo ushindi sio wa wakristo...
Hii thread ni kwasabbu Marakech wameshinda au, waache washerehekee wanachokiamini Bro.Morocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu_
View attachment 2438715
Wewe itakusaidia nini kwenu Kibaigwa ?Kama ni hivyo Portugal watawafunga wakome
Kunakitu kinaongezeka kitu muhimu kwa maisha ya mwanadamu yeyote yule nikishabikia mpira napata burudani yaani unajihisi na furaha sana..Vitu vingine fanya kama passion tu, havina impact yoyote kwa individual person. Imagine tuseme Tanzania imefanikiwa kuingia WC na ikafika final na ikachukua kombe, wewe km wewe una nufaika vp na ushindi huo? Je inaweza kukuza uchumi wa nchi? Achana na uchumi wako tu.
Ukifuatilia sana soccer utagundua tunapigia debe kazi za watu pasipo kujijua.
Wewe mwana simba, ubingwa mara nne mfulilizo ulikunufaishaje?
Je ubingwa wa yanga na hata wangekuwa unbeaten 100 games ww ingekuongezea nini?
Lakini utagundua inaposhinda simba/yanga kuna kundi flani la watu wanapata manufaa wewe utabaki mpiga kelele na kuchangia timu ya watu wa watu.
Kurudi kwenye mada hata anaeshabikia morroco hana tofauti na mtu wa mbeya anayeshabikia simba. Mpira utabaki kuwa burudani and it has nothing to do with uzalendo since ni biashara ya watu fulani.
Ilikuwa kwemye verified tweeter account japo wamesha deleteNa pia hii we mwenyewe umeileta kama quote tu kutoka sehemu(bora ingekua sauti yake) kwaio hatuna uhakika yeye pia kaileta vipi, kama ilivyozungumzwa au kapunguza vingine!?. Watu wanaeneza sana habari potofu kwa maslai yao saivi
Mpira ni haraam.Uislamu haufungamani chochote ,kuhusiana wala kufaidika na ushindi huo, kama habari ni ya kweli hayo ni maoni yake binafsi..
Sifàhamu ,ila ukicheza kama mazoezi kwa kujiweka fiti katika mazingira mazuri hakuna uharamu .Mpira wa kileo Man U ,Liver ,Simba na Yanga umezungukwa na mambo mengi haramu ,ya upuuzi na hovyo ulivyo huu uzi..Mpira ni haraam.
Una uhakika na unacho kinena ?Hata umoja wa africa hawapo hao